Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Orodha ya watakaouwawaMara baada ya kifo cha Magufuli. Dr Chamuriho (Waziri wakati huo) ndio alitajwa Sana kuwa angekua Makamu ila kama mnavyojua siasa zetu za fitna. Mwamba akanyang'anywa hata uwaziri wenyewe. 2025-2030 itabid arudi kwenye chaki upya.
OkHongera Sana Dr
Huyo Eng Dr Chamuriho kapoa nae?Makamu lazima awe mtu ambae kapoa
1. Dr ali juma
2. Shein
3. Dr bilal a.k.a mzee wa mkasi
4. SašÆ
5. Dr Mpango
Alikuwa sukuma gang.. kuhusu kupoa sina uhakikaHuyo Eng Dr Chamuriho kapoa nae?
Nchimbi nae kapoa si unaona trend inavyoendaHuyo Eng Dr Chamuriho kapoa nae?
Huyu hajapoa. Huyu ndiye atakayerejesha mamlaka ya Tanganyika kwa watanganyika mud wowote.. Sijui nimeandika nn mm?Nchimbi nae kapoa si unaona trend inavyoenda
Hamna kitu huyo ni yes ccmHuyu hajapoa. Huyu ndiye atakayerejesha mamlaka ya Tanganyika kwa watanganyika mud wowote.. Sijui nimeandika nn mm?
Aliwahi kumvimbia Kikwete akiwa rais alipokata jina la Lowasa, wakati huo yeye akiwa waziri tu. Jamaa siyo wa polepole.Hamna kitu huyo ni yes ccm
Cc @britannica
Na Dr. Mpango atakuwa Rais kwa neema ya Mungu.Dr Mpango alikuwa bora
Nimekumbuka hata bashe nae alimvimbia kikwete nakumbukaš¤£š¤£Aliwahi kumvimbia Kikwete akiwa rais alipokata jina la Lowasa, wakati huo yeye akiwa waziri tu. Jamaa siyo wa polepole.
Hata mm nimeoneshwa hivyo hivyo na Mungu wangu (Mungu wa Sexless ).Na Dr. Mpango atakuwa Rais kwa neema ya Mungu.
Subiri July ifike watavimba wengi sana. Gwajiboy katangulizwa kupima kina cha maji.Nimekumbuka hata bashe nae alimvimbia kikwete nakumbukaš¤£š¤£
Mmeanza kuroga sasa!Hata mm nimeoneshwa hivyo hivyo na Mungu wangu (Mungu wa Sexless ).