Tetesi: Dr Chamuriho nusura aukwae Umakamu baada ya kifo cha Shujaa

Kaah! Bashe ni mwanaume kweli kweli.
Alipiga kwenyewe hii screenshot huwa siipotezi.. vita vya 2030 balaa bashe na Nchimbi timu moja sijui itakuwaje dhidi ya jk timu January 🀣🀣
No reforms no election
 
Ila EL alichofanyiwa na wenzake sio poa kabisa, nakumbuka Rostam alidokeza kdg ktk msiba wake.
😭😭😭
Jk snitch..
Alishindwa kumwambia ukweli EL by the time Alikuwa anataka kuminstall BM
Hata jiwe alipita accidentally
 
Mara baada ya kifo cha Magufuli. Dr Chamuriho (Waziri wakati huo) ndio alitajwa Sana kuwa angekua Makamu ila kama mnavyojua siasa zetu za fitna. Mwamba akanyang'anywa hata uwaziri wenyewe. 2025-2030 itabid arudi kwenye chaki upya.
Ukiukwaji wa katiba karibia utucost
 
Kuna anaweza kumroga mzanzibari? Don't think so
 
Chamuriho aliponzwa na kelele za watu . Mama aliona kama ameegemea sana 'chawa' kwa Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…