Tetesi: Dr Chamuriho nusura aukwae Umakamu baada ya kifo cha Shujaa

Makamu lazima awe mtu ambae kapoa
1. Dr ali juma
2. Shein
3. Dr bilal a.k.a mzee wa mkasi
4. Sa💯
5. Dr Mpango
na maana gani kwa kusema ''kapoa'' Makamu wengi huwa wamepoa kwa sababu siyo viongozi wakuu. Hata unge-swap kipindi cha Magufuli na Samia, Magufuli awe makamu, ni lazima angepoa. Hivyo sio wanaangalia mtu aliyepoa ndiye achaguliwe, hasha, ila makamu huwa anatakiwa kupoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…