Dr. Cheni aeleza sababu za kutojihusisha tena na filamu nchini

Dr. Cheni aeleza sababu za kutojihusisha tena na filamu nchini

Dr Cheni aisome no kivipi,ye kapangua no zamani sana hata hapo anawapigia debe wasanii wenzie njaa tu hana haja ya ku act filamu ale,ana vimiradi kibao vya kumpa misosi na raha zingine,hiyo movie kabakia hobby tu,na namuheshimu sana huyu jamaa anajielewa,tokea enzi nakutana nae mango garden na ka datsun pick-up kajitahidi sana hapo alipo,hao kina JB ni mizinga ya bia na chipsi mayai mapaka leo wanaendekeza.
 
wasanii wa bongo movie wana organization yao inaitwa Tollywood ina kaz gani? Me kwa mtazamo wang ni wao kutokua organized ndo maana movie zna zagaa mtaani wakae chini wajipange wa angalie mfumo sahihi wa kusambaza kaz zao
 
wasanii wa bongo movie wana organization yao inaitwa Tollywood ina kaz gani? Me kwa mtazamo wang ni wao kutokua organized ndo maana movie zna zagaa mtaani wakae chini wajipange wa angalie mfumo sahihi wa kusambaza kaz zao
Wao kama wao hawawezi kudhibiti wizi.. ndio maana wanaiomba Serikali
 
M uwa natafta wanacholalamika kuibiwa sikioni make copyright wanamuuzia step xx wao mamb ya kuuza cd feki yanawaathr vp?

ebyo byekwaso
 
Shenzy zao, na badoooo, yaani mimo Bongo movie sitanunua kamwe
Kwani huwa wanauzaje movie zao? Maana mm toka waanze kutoa movie sijawahi kununua movie zao na sitanunua tena nilipowaona wanatumika km kondomu kwenye uchaguzi ndo basi kabisa
 
YAANI WATU WOTE WANGENISIKILIZA TUNGEANZA KAMPENI YA MAKUSUDI YA KUWAANGAMIZA WASANII WOTE WALIOCHAGUA FISIYEMU KWA KUSUSIA KILA WANACHOFANYA. NDIYO MAANA NDOMO SIMPENDI KABISA INGAWA ANATOKA KASULU KWETU. HOVYO KABISA
NDOMO ni nani mkuu fafanua mkuu.
 
Mkuu Specialist 88
Hongera Sana Kwa Kuweka Hizo Picha Yaani
Nimezitazama Kwa Kina Nimegundua Bongo Movies Inatia Kinyaa Sana Hawawezi Kulalamika Hawa
Walikataa Mabadiliko Mchana Muda Mwingi
Walikuwa Ndumilakuwili Leo Wanadhani Number Haiwahusu Lazima Waisome!!
 
Mbona mlikuwa mstari wa mbele wakati wa Kampeni Mkaarikwa Jumba jeupe Leo yamekuwa hayo mkuu? Hapa Kazi tu
 
Back
Top Bottom