hhHHhHhhKilio kingine hiki uwiiiiiiiiiie yeuwiiiiiiiii auwiiiiii nahama nchi uwiieeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhHHhHhhKilio kingine hiki uwiiiiiiiiiie yeuwiiiiiiiii auwiiiiii nahama nchi uwiieeee
Aache upuuzi wa kususia kazi kuna sehemu the great marehemu Kanumba alishawahi kususia kazi aseme tu biashara ya ngada inalipa na imemneemeshaView attachment 428444Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini, Dr Cheni amesema hatatoa tena filamu nyingine kutokana na hali ya kibiashara ilivyo katika tasnia ya filamu hapa nchini
Dr. Cheni alisema hayo alipokuwa akizungumza na E News ya EATV ambapo alisema kuwa kazi zao hazina ulinzi na haiwafaidishi wasanii ndio maana huoni umuhimu wa kuendelea kutoa kazi hizo
Dr. Cheni alisema ukitoa leo filamu mpya baada ya siku moja utaikuta imesambaa nchi mzima ikiwa inauzwa tena kwa bei chee, alipoulizwa hadi lini ndo atatoa filamu, alisema kuwa hadi hapo Serikali itakapoingilia kutatua suala la kazi zao
"Siwezi kutoa tena filamu hadi Serikali itakapo hakikisha kuwa kazi zetu zipo salama, ukitoa filamu leo siku moja ya pili ya tatu unazikuta chini zinauzwa ambazo ni bandia, kilio chetu sisi bongo movie ni kazi zetu zinaibwa, namuomba Rais Magufuli aingilie kati suala hili kwani vijana wengi wamejiajiri kwenye bongo movie "alisema Dr Cheni
Chanzo : Swahilitimes
Mkuu umenichekesha kwa hiyo una maana watu wamesusia kununua kazi za misanii ya chama chetu
Tafuta kamusi hunu humu JF utamfahamu. Anatokea kwetu kule kwenye uchawiNDOMO ni nani mkuu fafanua mkuu.
Awa soko lao waliliuwa toka 25/2015 ndo siku soko lao lilikufa ila awakujua to asaiv nimazishi to baada ya mazishi tunamsahau marehemMkuu umenichekesha kwa hiyo una maana watu wamesusia kununua kazi za misanii ya chama chetu
Naona wengi mmeamua kutokumuelewa Dr. Cheni, kasema kazi zinaibiwa, wengi naona mnalazisha kuwa JPM na the so called MAISHA MAGUMU.Hali imezidi kuwa mbaya kila sekta ni vilio tu
Kabla ya hapo soko lao lilikuwaje??Awa soko lao waliliuwa toka 25/2015 ndo siku soko lao lilikufa ila awakujua to asaiv nimazishi to baada ya mazishi tunamsahau marehem
Mungu anawaona. Ndiyo maana Johari haolewi, V Nyerere hana dira, Mboto anaishia kutangaza BSS , JB anakaribia kurudi upareni na woooote hao ukijumlisha na Chen, mambo yatazidi kuwaendea mrama mpaka washike adabu.
Sio baya kuringanisha naasaivKabla ya hapo soko lao lilikuwaje??
Kidogo nimekuelewa ijapo sijajihusisha na CCMHebu tuache mboyoyo...kuna uhusiano gani kati ya kudorora soko na kushiriki kampeni za chama?
Basi na mhusianishe mafanikio ya Diamond na kampeni...maana naye si alishiriki?
Nadhani mmekosa tu cha kushauri na sasa mnatafuta njia ya mkato.
Hao Wasanii waliounga mkono upinzani ni wangapi sasa wanakula matunda ya mafanikio kutokana na kufanya hivyo?
Bongo movie na wale wengine bongo flavor na katuni zingine ni tissue tu au toilet paper wacha wazisome. CCM ni ile ileBongo muvi tulieni, tena kaeni kimya kabisaaaaaaa.
Mlishachagua maslahi yenu Oct, 25--2015
Hahahahahahaha walikua wenye furaha sana mwaka jana