glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,026
- 1,401
AiseeKilio kingine hiki uwiiiiiiiiiie yeuwiiiiiiiii auwiiiiii nahama nchi uwiieeee
Hatutaki kusikia kelele zao kabisa, kila mtu abebe msalaba wake kimya kimya….
Wao kama wao hawawezi kudhibiti wizi.. ndio maana wanaiomba Serikaliwasanii wa bongo movie wana organization yao inaitwa Tollywood ina kaz gani? Me kwa mtazamo wang ni wao kutokua organized ndo maana movie zna zagaa mtaani wakae chini wajipange wa angalie mfumo sahihi wa kusambaza kaz zao
Kwani huwa wanauzaje movie zao? Maana mm toka waanze kutoa movie sijawahi kununua movie zao na sitanunua tena nilipowaona wanatumika km kondomu kwenye uchaguzi ndo basi kabisaShenzy zao, na badoooo, yaani mimo Bongo movie sitanunua kamwe
Nenda somalia basKilio kingine hiki uwiiiiiiiiiie yeuwiiiiiiiii auwiiiiii nahama nchi uwiieeee
Mi zaidiHuyu ndio nilimdharau zaidi, hip hop eti!!!! [emoji3] [emoji3]
MAMA SEMA NA MWANAO... haaah. Haaah. Haaah.Kwani sio nyinyi hao? Mmeshatumika mmetupwa mnamlilia nani sasa?
Mama sema na mwana
NDOMO ni nani mkuu fafanua mkuu.YAANI WATU WOTE WANGENISIKILIZA TUNGEANZA KAMPENI YA MAKUSUDI YA KUWAANGAMIZA WASANII WOTE WALIOCHAGUA FISIYEMU KWA KUSUSIA KILA WANACHOFANYA. NDIYO MAANA NDOMO SIMPENDI KABISA INGAWA ANATOKA KASULU KWETU. HOVYO KABISA
Mkuu Specialist 88
Hongera Sana Kwa Kuweka Hizo Picha Yaani
Nimezitazama Kwa Kina Nimegundua Bongo Movies Inatia Kinyaa Sana Hawawezi Kulalamika Hawa
Walikataa Mabadiliko Mchana Muda Mwingi
Walikuwa Ndumilakuwili Leo Wanadhani Number Haiwahusu Lazima Waisome!!
Hawa wasanii hakuna kuwaonea huruma ....wanafki sanaHawa wasanii makada wa CCM Nape aliwapa ahadi hewa sasa hivi wanalia na kusaga meno.