Dr. Cheni aeleza sababu za kutojihusisha tena na filamu nchini

Nitaendelea kutoa ushirikiano na MACHINGA kwa kuBANI CD za Bongo Movie hadi pale nitakapo jiridhisha nimerudisha KANUSU hasara waliko nisababishia kwa wao kuichagua MBELE KWA MBELE....Hureeh UBONGO KIDS....
 
ktk kundi la wasanii ambao ni wanafiki na ambao CCM huwatumia kirahisi kama toilet pepa wakati wa kampeni,ni hili kundi la wasanii wa bongomuvi.

nafurahi sana nikisikia waigizaji wa bongomuvi wanalia njaa.
 
kwa utoto .mnao fanyaga kwenye bongo movie bora usi rudi kuongeza kelo ingine kama hamu wezi badilika check wakenya tena wana tumia kiswahili movie zao huchoki proff!!! mnao tumia statimes startimes swahili toeni mlejesho wa kulinganisha nime shindwa kutolea mfano nigeria maana wale ni level nyingine kwenu
 
du bora muache tuu Maana huwa Naona kama huwa mnacheza kombolela tuu.
 
Mlilipwa mwaka jana fedha ya miaka mitano.
 
MTU yeyote ambae yupo kwenye upande Wa kuathiri ustawi Wa maisha yangu kiuchumi, kijamii, kiutamadun n.k huyo hana Nafasi kwangu....

CCM siipendi japo sina chama chochote... Bongo movie kujiambatanisha na CCM kulinifanya nivunje CDs zote za filamu zao.... Siwezi kuumiza kichwa kusoma changamoto zao ni watu wasiojielewa kabisa....


[HASHTAG]#PingaBongoMovie[/HASHTAG] Movement
 
Nionavyo filamu zao soko lao kubwa ni kwa beki tatu na kina mama wa nyumbani. Kama unajitambua huwezi kununua hizo kitu.
Umemaliza kila kitu mkuu, sioni umuhimu wa filamu za hawa watu wanajiita bongo muvi
 
Duh aisee..!
 
Kwani sio nyinyi hao? Mmeshatumika mmetupwa mnamlilia nani sasa?
Mama sema na mwana
Hebu tuache mboyoyo...kuna uhusiano gani kati ya kudorora soko na kushiriki kampeni za chama?

Basi na mhusianishe mafanikio ya Diamond na kampeni...maana naye si alishiriki?

Nadhani mmekosa tu cha kushauri na sasa mnatafuta njia ya mkato.

Hao Wasanii waliounga mkono upinzani ni wangapi sasa wanakula matunda ya mafanikio kutokana na kufanya hivyo?
 
Bongo muvi tulieni, tena kaeni kimya kabisaaaaaaa.

Mlishachagua maslahi yenu Oct, 25--2015
Nyie ndio wale ambao mkimkuta mtu taabani anakufa kwa kiu..kabla ya kumsaidia mngemuuliza kwanza 'wewe ni ea dini gani?' ili kama afuati dini unayoiamini wewe unamuacha afe.
 
Wachangiaji humu hamna lolote la kushauri, mmekwama kama walivyokwama Wasanii hao...kubwa mnalofanya ni kukimbilia siasa...na hizo ndio shahada za Watanzania, mnapoona kichwani hakuna ufumbuzi mnageukia siasa.

Yaani kwa kuwa tu siasa inaruhusu kuongea chochote basi ndio Watanzania tumeamua kujikita huko kama njia ya mkato kwa kila jambo, utakuta Watu mitaani mnageuza mifereji ya maji kuwa ndio sehemu za kutupa uchafu mnaozalisha majumbani, mkiulizwa manakimbilia siasa...kana kwamba mkiugua kipindipindu siasa itakuja mbio na kuwanusuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…