Dr. Cheni aeleza sababu za kutojihusisha tena na filamu nchini

kinachoiangamiza Bongo Muvi sio suala la mauzo pekee...wajiulize mbona hata umaarufu wa Wasanii wa Muvi umekwisha kwa muda mrefu sasa...Hakuna wasanii wapya wanaoibuka, zaidi ya kubaki na wale wale wa tangu miaka zaidi ya kumi iliyopita ukilinganisha na wenzao wa Bongo flavour, Majina ni yale yale JB, Ray, Aunty, Wolper, Rose Ndauka, Uwoya n.k.

Na kama hizo kazi zingekuwa zinasambaa kwa njia ya uharamia kama anavyojaribu 'kutujaza' Dr Cheni basi bado tungeona Wasanii wengi wapya wanaibuka na umaarufu wa Bongo muvi ungebakia kama sio kuongezeka...labda ambacho mngekosa ni pesa tu.

Hata Wasanii wa Bongo flavour hawauzi CD, lakini kwa nyimbo zao kuchezwa hovyo na kuchomwa hovyo mitaani ndio tunashuhudia kuibuka kwa Wasanii wapya kila siku.

Kilichoiua bongo Muvi ni ubinafsi ulioendekezwa na hao hao wanaojiita 'Waanzilishi' wa Bongo muvi....wao baada tu ya kuona Watanzania wamewapokea vizuri wao wakajifungia kwenye chumba chao kama Wasanii na kuamini kwamba sasa ndio wakati wa kuchuma mihela..walisahau kabisa kwamba sanaa ya filamu ni matokeo ya team work, kwa maana ya Wapiga picha, Waandishi, Waongozaji n.k ndio maana mlishuhudia kina Ray wakijipa majukumu yote ya kuandaa filamu, muandishi yeye, Cameraman yeye, Muigizaji yeye, na wenzake walifuata mkumbo huo huo.....Wao waliamini kuwa Wasanii wangeweza kusafiri kivyao na kufaidi mihela ya Watanzania milele.

Wana kazi kubwa ya kurudisha imani ya Watanzania tena kwani sio kazi rahisi sana...kuna usemi maarufu kuwa 'bahati huwa haiji mara mbili' ila upo uwezekano wa kurudi tena iwapo tu watakaa chini na kutaka kujifunza Filamu ni nini..

.....Sanaa ya Filamu/burudani huwa haifi, bali husinzia au kuwa kwenye coma hata kwa miaka mia moja iwapo kutakosekana ubunifu na uelewa, mpaka hapo watakapojitokeza watu sahihi wa kuirudishia uhai.
 
Aache upuuzi wa kususia kazi kuna sehemu the great marehemu Kanumba alishawahi kususia kazi aseme tu biashara ya ngada inalipa na imemneemesha
 
Kusema ukweli kila alie wapigia sisiemu wacha aumie tu maana akili xitawarudi
 
Mkuu umenichekesha kwa hiyo una maana watu wamesusia kununua kazi za misanii ya chama chetu
Awa soko lao waliliuwa toka 25/2015 ndo siku soko lao lilikufa ila awakujua to asaiv nimazishi to baada ya mazishi tunamsahau marehem
 
Hali imezidi kuwa mbaya kila sekta ni vilio tu
Naona wengi mmeamua kutokumuelewa Dr. Cheni, kasema kazi zinaibiwa, wengi naona mnalazisha kuwa JPM na the so called MAISHA MAGUMU.
 
Kidogo nimekuelewa ijapo sijajihusisha na CCM
 
wasubiri uchaguzi ujao wakusanywe tena washonewe sare wazungushwe nchi nzima sindano ipenye dawa iingie
 
Aseme ukweli tu kulelewa ndio kunamfanya aishi twn sio kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…