Ndomo mpende tu yeye pale alikua anafanya bashara ndio maana hukumona akizunguka sijui mama ongea namwao..yeye alipiga show akasepa zakeYAANI WATU WOTE WANGENISIKILIZA TUNGEANZA KAMPENI YA MAKUSUDI YA KUWAANGAMIZA WASANII WOTE WALIOCHAGUA CCM KWA KUSUSIA KILA WANACHOFANYA. NDIYO MAANA NDOMO SIMPENDI KABISA INGAWA ANATOKA KASULU KWETU.
Wanaibiana chupi ndio maana tollywood chaliiiwasanii wa bongo movie wana organization yao inaitwa Tollywood ina kaz gani? Me kwa mtazamo wang ni wao kutokua organized ndo maana movie zna zagaa mtaani wakae chini wajipange wa angalie mfumo sahihi wa kusambaza kaz zao
Hata hao siku hizi hawanunui..Nionavyo filamu zao soko lao kubwa ni kwa beki tatu na kina mama wa nyumbani. Kama unajitambua huwezi kununua hizo kitu.
MAKUBWA JINGA YAONE NA NGUO ZA LAANA MUNGU KAWANYIMA AKILI NA MAARIFA
Umenena vyemakinachoiangamiza Bongo Muvi sio suala la mauzo pekee...wajiulize mbona hata umaarufu wa Wasanii wa Muvi umekwisha kwa muda mrefu sasa...Hakuna wasanii wapya wanaoibuka, zaidi ya kubaki na wale wale wa tangu miaka zaidi ya kumi iliyopita ukilinganisha na wenzao wa Bongo flavour, Majina ni yale yale JB, Ray, Aunty, Wolper, Rose Ndauka, Uwoya n.k.
Na kama hizo kazi zingekuwa zinasambaa kwa njia ya uharamia kama anavyojaribu 'kutujaza' Dr Cheni basi bado tungeona Wasanii wengi wapya wanaibuka na umaarufu wa Bongo muvi ungebakia kama sio kuongezeka...labda ambacho mngekosa ni pesa tu.
Hata Wasanii wa Bongo flavour hawauzi CD, lakini kwa nyimbo zao kuchezwa hovyo na kuchomwa hovyo mitaani ndio tunashuhudia kuibuka kwa Wasanii wapya kila siku.
Kilichoiua bongo Muvi ni ubinafsi ulioendekezwa na hao hao wanaojiita 'Waanzilishi' wa Bongo muvi....wao baada tu ya kuona Watanzania wamewapokea vizuri wao wakajifungia kwenye chumba chao kama Wasanii na kuamini kwamba sasa ndio wakati wa kuchuma mihela..walisahau kabisa kwamba sanaa ya filamu ni matokeo ya team work, kwa maana ya Wapiga picha, Waandishi, Waongozaji n.k ndio maana mlishuhudia kina Ray wakijipa majukumu yote ya kuandaa filamu, muandishi yeye, Cameraman yeye, Muigizaji yeye, na wenzake walifuata mkumbo huo huo.....Wao waliamini kuwa Wasanii wangeweza kusafiri kivyao na kufaidi mihela ya Watanzania milele.
Wana kazi kubwa ya kurudisha imani ya Watanzania tena kwani sio kazi rahisi sana...kuna usemi maarufu kuwa 'bahati huwa haiji mara mbili' ila upo uwezekano wa kurudi tena iwapo tu watakaa chini na kutaka kujifunza Filamu ni nini..
.....Sanaa ya Filamu/burudani huwa haifi, bali husinzia au kuwa kwenye coma hata kwa miaka mia moja iwapo kutakosekana ubunifu na uelewa, mpaka hapo watakapojitokeza watu sahihi wa kuirudishia uhai.
Wao ndo walikuwa wanatuimbia tutaisoma namba,mbona wanaisoma wao tena? Teh teh tehBongo muvi tulieni, tena kaeni kimya kabisaaaaaaa.
Mlishachagua maslahi yenu Oct, 25--2015
Safi sana....watulieeeee kama wanachinjwaBongo muvi tulieni, tena kaeni kimya kabisaaaaaaa.
Mlishachagua maslahi yenu Oct, 25--2015
Linafiki lingine hili hapa
He he he he he, nadhani nilimdharau zaidi ya ulivyo mdharau ww mkuu.Huyu ndio nilimdharau zaidi, hip hop eti!!!! [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kilio kingine hiki uwiiiiiiiiiie yeuwiiiiiiiii auwiiiiii nahama nchi uwiieeee
Wachangiaji humu hamna lolote la kushauri, mmekwama kama walivyokwama Wasanii hao...kubwa mnalofanya ni kukimbilia siasa...na hizo ndio shahada za Watanzania, mnapoona kichwani hakuna ufumbuzi mnageukia siasa.
Yaani kwa kuwa tu siasa inaruhusu kuongea chochote basi ndio Watanzania tumeamua kujikita huko kama njia ya mkato kwa kila jambo, utakuta Watu mitaani mnageuza mifereji ya maji kuwa ndio sehemu za kutupa uchafu mnaozalisha majumbani, mkiulizwa manakimbilia siasa...kana kwamba mkiugua kipindipindu siasa itakuja mbio na kuwanusuru.
Na wewe unapendwa na nani?Tumia akili angalau kidogo basii!!!!
Serikali iliyoko madarakani haipendwi.
Koment zinatoa mwanga huo.
Napendwa na my wife wangu. Teh teh tehNa wewe unapendwa na nani?
olige waitu??M uwa natafta wanacholalamika kuibiwa sikioni make copyright wanamuuzia step xx wao mamb ya kuuza cd feki yanawaathr vp?
ebyo byekwaso
foamingHebu tuache mboyoyo...kuna uhusiano gani kati ya kudorora soko na kushiriki kampeni za chama?
Basi na mhusianishe mafanikio ya Diamond na kampeni...maana naye si alishiriki?
Nadhani mmekosa tu cha kushauri na sasa mnatafuta njia ya mkato.
Hao Wasanii waliounga mkono upinzani ni wangapi sasa wanakula matunda ya mafanikio kutokana na kufanya hivyo?
foamingWachangiaji humu hamna lolote la kushauri, mmekwama kama walivyokwama Wasanii hao...kubwa mnalofanya ni kukimbilia siasa...na hizo ndio shahada za Watanzania, mnapoona kichwani hakuna ufumbuzi mnageukia siasa.
Yaani kwa kuwa tu siasa inaruhusu kuongea chochote basi ndio Watanzania tumeamua kujikita huko kama njia ya mkato kwa kila jambo, utakuta Watu mitaani mnageuza mifereji ya maji kuwa ndio sehemu za kutupa uchafu mnaozalisha majumbani, mkiulizwa manakimbilia siasa...kana kwamba mkiugua kipindipindu siasa itakuja mbio na kuwanusuru.