Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa 2: Feminists wanachangia kwa kiasi kikubwa watu kukataa ndoa. Kwa bahati mbaya sana asili haitakaa ibadilike!

Au sio ? Kwamba mimi sina masikio ya kusikia wanayo ongea ?
Huwa wanalalamikia nini hasa kuhusu tabia mbovu za wanaume, hebu tusaidie na sisi tusiojua, yawezekana hayo yanayojadiliwa huwa unayasikia peke yako
 
Screenshot_20240507-154541.jpg

Mzee wa kupambania
 
Huwa wanalalamikia nini hasa kuhusu tabia mbovu za wanaume, hebu tusaidie na sisi tusiojua, yawezekana hayo yanayojadiliwa huwa unayasikia peke yako
Dr. Kuna jambo kaliongea hapo. Kigezo kwa sasa ni pesa. Muhimu sana.
 
Back
Top Bottom