Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Huwa wanalalamikia nini hasa kuhusu tabia mbovu za wanaume, hebu tusaidie na sisi tusiojua, yawezekana hayo yanayojadiliwa huwa unayasikia peke yakoAu sio ? Kwamba mimi sina masikio ya kusikia wanayo ongea ?