Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Kinachowaua ni maliasili zao. Wavamizi wakiwatumia ngozi nyeusi wenzao. Mungu wanusuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kwa Taarifa yako hicho kiswahili Cha Kongo ndio kiswahili halisi ambacho ni kibantu. Sisi tunachoongea kipo contaminated na kiarabu. Alivyoleta biashara ya utumwa na dini yake ,wale wapambe wake ambao walikuwa ni waswahili wakawa wanamwiga bwana mkubwa huyo anavyoongea ili wasipate kipondo au kujipendekeza waonekane wapo karibu na wanyonyaji hao. Kwa hiyo usijisiifu kuwa unajua kiswahili kumbe unachoongea sii kiswahili Bali makombo ya bwana madevu😂Sasa uwezo wa kufikiri imekujaje mkuu, ifahamike baada ya mother language lugha ya pili kwa nchi nyingi ni kiingereza ndo mana sijasema kifaransa
Punguza makasiriko ni nani aliyejisifia anajua kiswahili? Kwahiyo tuache kurekebisha palipo na makosa? Umewaka sana mkuu pasipo sababuKwanza kwa Taarifa yako hicho kiswahili Cha Kongo ndio kiswahili halisi ambacho ni kibantu. Sisi tunachoongea kipo contaminated na kiarabu. Alivyoleta biashara ya utumwa na dini yake ,wale wapambe wake ambao walikuwa ni waswahili wakawa wanamwiga bwana mkubwa huyo anavyoongea ili wasipate kipondo au kujipendekeza waonekane wapo karibu na wanyonyaji hao. Kwa hiyo usijisiifu kuwa unajua kiswahili kumbe unachoongea sii kiswahili Bali makombo ya bwana madevu
Hiyo base ya makosa unaipatia wapi wakatiu evolution ya kiswahili chao ni tofauti na chetu? Mwingereza atamkosoa mmarekani kuwa anakosea kiingereza wakati kila mmoja ana taasisi yake ya kuendeleza lugha kulingana na alivyoirithi tofauti na mwenzake?Je! kati ya nchi ambazo zina asili ya kiswahili kama Tanzania, komoro, somalia, Kenya na Kongo kuna taasisi moja inayoshughulikia kukua kwa lugha au kila nchi inayo ya kwake kulingana na aina ya kiswahili inayoongea?Pu
Punguza makasiriko ni nani aliyejisifia anajua kiswahili? Kwahiyo tuache kurekebisha palipo na makosa? Umewaka sana mkuu pasipo sababu
Mleta Threat mbona ametenganisha vizuri, mtu wa kwanza na mtu wa pili au huoni nambaAhsante mkuu kumbe hizi case ni watu wawili tofauti mleta thread ameleta kama ni yeye pekee kwa case mbili hizo
All in all poleni sana Majirani zetu
Unapopigana na mtu anaejificha na kuvizia, hata wakiwa wawili tu, jeshi la DRC hata liwe na wanajeshi milioni 10, mnaweza msiwadhibiti, na wako wawili tu..simple logic
hivi inamaana hao waasi wameshindwa kudhibitiwa kabisa na majeshi yote,inamaana ni wajanja au wana special weapons kushinda majeshi yote ambayo yamejaribu kurejesha amani huko Congo,, KDF,MUNOSCO,Jeshi la Congo etc
poleni sana ndugu wakongo,karibuni sana bongo nchi ya wajuaji na matajiri wa mchongo,,huku hata sijui mtakula nini maana kwetu Ugali ni laana hata bodaboda siku hizi wanajifichaficha maana na wenyewe kazi yao ni laana,karibuni bongo
Ahsante nmeiona mkuu baada ya kurejea mara ya kwanza sikuonaMleta Threat mbona ametenganisha vizuri, mtu wa kwanza na mtu wa pili au huoni namba
Umejitahidi lakini unapaswa urejee ktk mchakato wa lahaja na usanifishajwi wa lugha ya kiswahili na fikiri utapata kitu kipya na mtazamo mpya , japo sina elimu lakini nakupa na hili la mwisho , kila lugha la zima ikope ( iazime ) maneno kutoka lugha nyimgine na hii ni kwa lugha zote dunia , hakuna lugha iliyojikamilisha hata kiarabu kina maneno ya kiingereza , kiingereza ina maneno ya kifaransa , ki hindi kina maeno ya kiarabu, nk. na tengua kauli ya kiswahili halisi , binafsi napenda lahaja za wandigo , wa mombasa , lamu , na kiswahili ina maneno mengine wengi hatuyajui . Pindi bureeeKwanza kwa Taarifa yako hicho kiswahili Cha Kongo ndio kiswahili halisi ambacho ni kibantu. Sisi tunachoongea kipo contaminated na kiarabu. Alivyoleta biashara ya utumwa na dini yake ,wale wapambe wake ambao walikuwa ni waswahili wakawa wanamwiga bwana mkubwa huyo anavyoongea ili wasipate kipondo au kujipendekeza waonekane wapo karibu na wanyonyaji hao. Kwa hiyo usijisiifu kuwa unajua kiswahili kumbe unachoongea sii kiswahili Bali makombo ya bwana madevu