DR Congo sio nchi dhaifu

DR Congo sio nchi dhaifu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Baada ya Rais Felix kuingia madarakani Wakongo tumejua mengi saana kuhusu nchi yetu, mwanzo tulikuwa tunafikiri labda Congo ni nchi dhaifu saana tena saana ndo maana nchi kama Rwanda na Uganda walikuwa wanatusumbua.

Kumbe walikuwa wapumbavu wadogo ndani ya jeshi letu ambao walikuwa wanatoa mipango yetu kwa madui wakisaidiwa na monusco.

Rais Felix alifanya mageuzi ndani ya Jeshi na kufukuza vibaraka wote wa Kagame pamoja na Museveni

Sasa hivi moto unawaka Congo tunaemtafuta ni Kageme tu ndo maana tunafanya kila liwezekanalo uhusiano wa kidiplosia na Rwanda ufe.

DRc is one of the powerful country in Africa

We come back in our kingdom like 1960- 1996
 
Naamini DRC kuingia EaC ilikuwa ni wazo jema sana na litasaidia kujua kama Rwanda ni adui kule DRC au sio kama anavyodai.

Raisi wa dRC ameomba jeshi la East Afrika liende kulinda amani. Kabla ya kufanya hivyo ilitakiwa tukubaliane kama jumuiya kuwa M23 ni maadui wa jumuiya. Atakayebisha hilo ndo atakuwa mbaya wetu kuanzia siku hiyo.
 
Between the lines. Mazungumzo ya siri na ni siku kadhaa mbele tunasikia ubalozi uondoke, tuendelee kusikiliza update za jirani kuhusu "uswahiba" wake na sisi.

Japo tayari jeshi la PK limeambiwa likae kwa hali yoyote kuanzia jana.
 
Jamaa flani hakuelewana na kagame na sasa yeye ndie remote control wa serikali ya Tanzanian na juzijuzi yule wa Congo alikuja Tanzania. Yajayo yatafurahisha
 
Badala ya Hilo jeshi kupigana na Rwanda kwa Nini wasikomboe kwanza maeneo yao yaliyotekwa na m23
M23=JESHI LA RWANDA ndio maana wana nguvu balaa! Soon wanaikamata Goma.

Wacongo wanaelewa hilo, tusubiri vita tu
 
Back
Top Bottom