Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Yeees, afikishwe... wako wazalendo walitonya siku nyingi kwamba 'motivation' ya vigogo wa NSSF kuingia/kuanzisha miradi mikubwa sio tija ya miradi ila ni kufisidi shirika. mradi wa milioni mia moja unajengwa kwa bilioni huku zaidi ya nusu ya fedha zikiishia mfukoni kwa hao vigogo. tumeona vigogo wa NSSF wakijitosa hata kuonekana kogombea miradi mikubwa ya kutisha kama daraja la kigamboni huku wananchi wakionyesha mashaka kuhusu ustawi wa NSSF.
 
sipaoni ambapo dr dau atakwepa asiingie mahakamani, bahati mbaya kwake.. fraday kwake yaweza kuanzia au kuishia segerea na huo utakuwa mwanzo wa maisha mapya,
 
Itabidi itungwe sheria mtu akifanya ufisadi zaidi ya bilioni hakuna mjadala nikunyonga tuu kama china watu waeshimu ela za wananchi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…