Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
IMG_5308.jpg



Habari imepikwa na hawa wawili ambao ni mtu na hawara wake

MAGORI na CHIUME wote ni wafanyakazi wa NSSF
Tulia tu uone kesho au kesho kutwa baada ya Swala ya Ijumaa mtu anakalia benchi la Kisutu na anapewa ndoo ya kwenda nayo Segerea kama alivyopewa Sioi na Kitilya
 
Uzuma Magufuli anakataa na sisi wananchi twakataa achukuliwe hatua haraka kifungo cha Mramba na Yona hakikubariki
 
IMG_5308.jpg



Habari imepikwa na hawa wawili ambao ni mtu na hawara wake

MAGORI na CHIUME wote ni wafanyakazi wa NSSF
Ludovick Mrosso nae achunguzwe maana nae no miongoni mwa madoni wa NSSF(mtoa ajira kwa vimemo kwa wachagga a.k.a nduvu zake
 
Natamani zile mbinu wanazotumia kule marekani kutesa magaidi zingetumika hata kwa hawa mafisadi papa kama kuwaloweka kwenye Maji siku mbili, kukalia chupa ya soda ukiwa uchi nk

Hii itasaidia wawaambie watoto zao kuwa wana wa Tanganyika walioteseka sana sasa wamebadilika, hawana mchezo na hela zao. Nimetonywa kuwa zingine zilipigwa akapewa Membe za kampeni ya uraisi
 
, anatarajiwa kufikishwa mahakamani
wakati wowote kutoka sasa. Anaandika
Pendo Omary…(endelea).

Dk. Dau anatuhumiwa kuingiza NSSF hasara
ya mabilioni ya shilingi, kutokana mikataba
ya kinyonyaji. Amekuwa katika shirika hilo
kwa miaka 15.

Taarifa kutoka serikalini na taasisi nyingine
zinazoshughulikia uchunguzi zinasema, Dk.
Dau ambaye aliong’olewa NSSF 15 Februari
mwaka huu, atafikishwa kwa mahakamani,
kujibu tuhuma za ufisadi zilizoibuliwa ndani
ya shirika hilo.

Tuhuma nyingine ni matumizi mabaya ya
madaraka, uzembe na ukiukwaji wa taratibu
katika miradi ya uwekezaji na vitega uchumi
mbalimbali ndani na nje ya nchi.

Miongoni mwa miradi hiyo, ni ujenzi wa
daraja la Kigamboni; hoteli ya kitalii jijini
Mwanza, mradi wa ujenzi wa majengo katika
mji mpya wa Kigamboni, uwekezaji kwenye
jengo la biashara la Mzizima na mgodi wa
mkaa wa mawe wa Kiwira, mkoani Mbeya
 
Nataka kujua hiyo matumizi mabaya ya madaraka,
 
Wangemsamehe tu jamani, maana Tanzania yetu hii ni Shamba la bibi sasa aende kuchota wapi kama sio shambani
 
Kwani kupewa Ubalozi na kushtakiwa kwa makosa uliofanya kuna mahusiano gani. Yeye apelekwe tu. What goes around comes around..!!!
 
Nasubiri kesho Friday au next week! Nione Mh Balozi akiwa amekaa pale front row Kisutu! Sasa kama waliokuwa wanapambana nae kuwa ni muadilifu hajapata kutokea leo anashitakiw kwa mabilioni mengi hivyo kuna nini? Kumbe dini inatumika kujificha maovu? Sielewi bado muda utasem yote! Naomba nisubiri
 
Kwani si kapewa u balozi?

Dada yangu; ile ikuwa geresha tuu ya kupewa ubalozi, dhamira ya JPM ilikuwa kumtoa pale kama DG wa NSSSF ili wananchi wasishtuke; so ubalozi haupo hapo na JPM lazima ampeleke ndani, kumbuka kauli za JPM alishasema hatangalia sura au title ya mtu ni lazima awekwe ndani

angalia mfano mwingine wa Katibu Mkuu kiongozi aliepita Ombeni Sefue yupo wapi mpaka leo? unataka kuniambia kuwa JPM hawezi kumtafutia kazi nyingine ya kufanya mpaka kwa kipindi hiki? huyo nae ndo kishaachwa.

JPM ana akili sana na anajua how to work na ntazidi kumuombea JPM kwa Mungu ili azidi kumpa Busra na ulinzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom