Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

Kuna dada mmoja mlokole yupo Tegeta. Alikuwa anamsifia Magufuli kuwa kamaliza Corona Tanzania. Mwaka jana mwezi June/Julay mama yake na bibi yake walikufa kwa Corona. Walipishana siku mbili.

Hadi leo hataki kumsikia Magufuli.
Kwenye misafara wapaka mav.i...huwa hawakosekani
 
Vijana wa ufipa nina imani wamekunja sura zao kama mavi ya asubuhi
 
Mshukuru sana huyo mpumbavu maana angeamua kuwafuatisha wazungu wewe na ukoo wako mlivyo masikini mngekuwa mmeshapukutika wote kwa njaa muda huu
Mwendazake ametukuta tuna survive, akapewa u-Rais akafanya upumbavu wake akafa kwa COVID19 na ametuacha tuna survive, nimshukuru kwa kitu gani? Hiyo kazi tumewaachia nyinyi misukule yake ndiyo mufanye lakini siyo sisi tunaojitambua
 
Wewe
Wamepata wapi twakwimu za wagonjwa na vifo wakati ilikua ni siri ya kinjekitile?

Huu ni ugoro full stop.
Kama takwimu za COVID hazikutolewa, huyo mchambuzi anajuaje wangapi walikufa au hawakufa na COVID?
Niwaulize katika ukoo wenu wenye watu zaidi ya 100 wangapi wamekufa kwa covid ?kama hawafiki 3 kati ya 100 mwendazake alifanya yake akumbukwe
 
Wewe

Niwaulize katika ukoo wenu wenye watu zaidi ya 100 wangapi wamekufa kwa covid ?kama hawafiki 3 kati ya 100 mwendazake alifanya yake akumbukwe
1.Kijazi
2.Mahiga
3.Mzee Pombe
4.Mama Rwakatare
 
Mwendazake ametukuta tuna survive, akapewa u-Rais akafanya upumbavu wake akafa kwa COVID19 na ametuacha tuna survive, nimshukuru kwa kitu gani? Hiyo kazi tumewaachia nyinyi misukule yake ndiyo mufanye lakini siyo sisi tunaojitambua
Hata chizi huhisi anajitambua
 
Yaani katika vitu ninavyomuona Magufuli alikuwa chaguo La Mungu kuja kuitetea Tz ni pamoja na hilo RIP JPM
 
JPM alikana uwepo wa corona?
je shule na vyuo kwa nini alifunga?
kwa nini aliagiza maombi ya kufunga na kuomba?
kwanini alitaka tuishi na corona kama magonjwa mengine?
kwanini aliunda tume ya kushauri juu ya chanjo na corona.?

alisema corona hakuna baada ya maombi kuwa Mungu kaiponya nchi na ndo maana hata leo tuko huru kweli kweli.
Au kutumia akili zake tofauti na wanavyo fanya wazungu ndo shida.
au hata mapapai yakionekana na corona ni sawa.
Huyu mtaalamu kasema vema unapo imarisha uchumi unaongeza life expectancy rate.Ni wakati huu nchi iliingia uchumi wa kati.Je angeweka lockdown tungeingiaje uchumi wa kati? Kadri uchumi unavyo poromoka maana yake umaskini nao unaongezeka Kinachotkea ni low expectancy rate.
 
bora umeanza kuieleza kwa kiswahili imesaidia wenzangu na mimi ambao kizungu ni shida.

JPM anaishi na ataendelea kuishi mioyoni mwetu.
 
Yeye aliamua kupeleka mapapai na oil chafu kwenye PCR machine, sisi tukapelea sample zake tulizon"swab" kwenye pua
Kwenye hizohizo mashine mzilizopima mapapai ama mlipeleka kwenye mashine za wadhungu
 
Wewe

Niwaulize katika ukoo wenu wenye watu zaidi ya 100 wangapi wamekufa kwa covid ?kama hawafiki 3 kati ya 100 mwendazake alifanya yake akumbukwe
Wamekufa watu wengi sana sawa na nchi zingine za AFRICA.

Tumia akili yako tu ya kawaida, hata kama angekufa mtu 1 thamani yake ni kubwa na haiwezi kufananishwa na uzembe wa Mwendazake
 
Hata chizi huhisi anajitambua
Kama mimi ni chizi na bado unasoma ninachoandika na unajibizana na mimi mara 3, basi nenda Mirembe hospital wakakupe status yako.
 
Kwenye hizohizo mashine mzilizopima mapapai ama mlipeleka kwenye mashine za wadhungu
Forget about Mwendazake alikufa kwa ukaidi na uzembe wake. He got what he deserved
 
Forget about Mwendazake alikufa kwa ukaidi na uzembe wake. He got what he deserved
Ukaidi ama ujasiri, he sacrificed his life for us..amefungua njia, sasa ni juu yako wewe kuchagua aina ya kiongozi ambae atasimamia nchi na mali zake zote kwa manufaa ya wote....na ukimtazama machoni, nafsi yako inasema kweli huyu anauchungu na Tanzania....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…