Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

Wamepata wapi twakwimu za wagonjwa na vifo wakati ilikua ni siri ya kinjekitile?

Huu ni ugoro full stop.
Kama hukufa kwa umri wako huo,pamoja na complication za mtindo wa maisha ujue haikupiga sana.

Pia JPM hajawahi kusema corona haipo ila alikubali tuishi nayo pasipo hofu kama usivyoogopa Ukimwi au malaria
 
Kiingereza Cha Bashiru hiki. Mbona Sukuma gang mnahangaika hiv?
 
"Najua mtanikumbuka,Sio kwa mabaya bali kwa mema" Pumzika kwa amani JPM
Sukuma gang mtaandika Sana. Lkn mwendazake zake zimeisha. Na kishasahaulika kabisa.

Habari za uwanja wa ndege Chato umezisikia? Kwa taarifa yako wananchi wameomba kuanikia mahindi na mpunga.
 
Dah Tanzania tumepoteza Rais tumebaki na kiongozi tu anaeongoza awamu ya sita lakini kwa akili na mawazo ya awamu ya 4 😢😢😢
Ponda uwezavyo lkn huyo dikteta wako hafufuki tena. Na kwa taarifa yako hata huo mkoa wa Chato hatuupiyishi. Nyana nhana! Dikteta wahed!
 
Chanjo ya Astra Zeneca aliyopendekeza mwenyekiti wetu Mbowe ije haraka sana. Corona Tanzania ipo inaua maelfu kwa maelfu... Mwenda zake alikua muongo, sie tunamuamini mwenyekiti wetu Mbowe tu

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Hata hizo chanjo nyingine zinazochomwa watoto sikuhizi miaka ya nyuma walizikimbiana sana tu nakusema wazungu wanataka kutuangamiza, maafisa afya na madaktari wakafanya kazi kubwa sana ya kuelimisha watu leo hii chanjo zikikosekana wanapiga kelele. So sio Jambo geni ni woga wa kutawaliwa tu na ukoloni bado unatusumbua akilini.
 
Mbona yeye ikaja ikamwondoa asa? Huo ushujaa unakujaje hapo!!
Hawa sukuma gang watakuwa hawajui maana ya shujaa. Shujaa anakufa kama kuku? Tena kwa ujinga wa kupuuza tahadhari dhidi ya Covid-19??
 
Kwani Mama ametangaza lockdown ili nielewe vizuri mtiririko wa mada?
Binafsi naona suala la marehemu kuwapa hardtime hadharani watu waliokuwa wameamua kujilinda kwa barakoa halikuwa fair kabisa.
 
Mjinga kweli.
Alifanya tafiti? Aliongea na familia ya kina ben saanane?
Au source yake ni Tbc na kina msigwa
 
Hawa sukuma gang watakuwa hawajui maana ya shujaa. Shujaa anakufa kama kuku? Tena kwa ujinga wa kupuuza tahadhari dhidi ya Covid-19??
Kwa kweli, kufia bongo wakati hazina yote una mamlaka nayo!! Hili nalo ni la kustaajabisha kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…