Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

Kama takwimu za COVID hazikutolewa, huyo mchambuzi anajuaje wangapi walikufa au hawakufa na COVID?
Tathimini ya vifo kutokana na Covid-19 inaanza na wewe mwenyewe hapo mtaani kwenu au ndugu zako mmezika wangapi waliokufa kwa ugonjwa au viashiria vya Covid?
 
Stupid comment ever!!
 
Stupid comment ever!!
You must be nuts. Magufuli is a PhD in biochemistry, that means he is better than Mendeleyev or Isaacs Newton. The only difference is that Magufuli is black the others were whitemen. This means that ignoramuses like you can shoot at him.
 
Scientists mpaka sasa hawajaweza kurationalize mdudu mwenyewe....sio kila kitu ni cha kurationalize..vingine vinakwenda kwa gut feelings..and by the way he guessed right so it was not a stupid guess...

Rest in peace JPM
Utakumbukwa milele
 
Kwani Tanzania na Magufuli wanabezwa kwa sababu hawaweka lockdown? Mbona mnapindisha ukweli?

Mkuu hili bandiko ni la watu maalum. Ukichangia maswali kama hayo unaharibu mtiririko wa sifa.
 
Naomba mnisaidie hivi ni dunia nzima ilikua katika lockdown isipokua Tanzania tu?

Croatia, Sweden, Tanzania na Belarus ni nchi ambazo hzikuwekwa lockdowns ila kama mwandishi anavyosema
Wazungu walivyo na chuki na waafrika hawakuwananga swedes kwa kutokuwafungia watu wao bali walimpa majina kibao Magufuli
 
Mkuu hili bandiko ni la watu maalum. Ukichangia maswali kama hayo unaharibu mtiririko wa sifa.
Hata mimi najuai ni kwa watu ''maalum'' kama wewe. Mimi niko hapa kukuondoa kutoka kwenye hilo kundi la ''umaalum''. Na ndiyo lengo hasa la JF.
 
Natamani uchambuzi wake ungehusisha pia nyungu na ile dawa ya Madagascar.
 
Mpaka beberu amemsifu Jiwe! Si mchezo.Eti leo tume inapendekeza
upupu.
Nafikiri rais atasoma makala hii.
 
Ugonjwa wa aina yake,

Lazima utoe takwimu za waliopoteza maisha.

Lazima utoe takwimu za walioathirika.

Lazima ufungie watu ndani.

Lazima watu wakae mbali Mbali.

Lazima ununue Chanjo.
Ajabu kubwa zaidi hata waliopona huhesabiwa kwenye visa ili kukuza tatizo na kuleta hofu ili watimize matakwa yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…