Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

Sawa kaka mkubwa.

Corona haijaua hata mmoja, ni story za upinzani na kuaminishana uongo.

Tumia utambuzi mdogo wangu, korona iliua na inaendelea kuua kote kote duniani. Lkn si at epidemic proportional kama wenzetu wa ulaya, marekani, amerika ya kusini na sasa india. Zile picha za kina mbowe na lema, zilikuwa ni kiki za kisiasa. kolona mpaka sasa ipo, hivi unasikia akina lema na mbowe au mpinzani yeyote akilipigia kelele. licha ya kuwa udhibiti is more or less kama alivyokuwa mwendazake.
 
Scientists mpaka sasa hawajaweza kurationalize mdudu mwenyewe....sio kila kitu ni cha kurationalize..vingine vinakwenda kwa gut feelings..and by the way he guessed right so it was not a stupid guess...

Rest in peace JPM
Utakumbukwa milele
Any uninformed guess is stupid.
 
Agree with you Magufuli will always be remembered...................
 
Safi sana huyu Dr. kaongea ukweli mtupu tena ingepaswa nchi zilizoweka lockdown wakatuambia ni raia wangapi walipoteza maisha kwa njaa, msongo wa mawazo na magonjwa mengine kisha tulinganishe na athari za covid.
 
Safi sana huyu Dr. kaongea ukweli mtupu tena ingepaswa nchi zilizoweka lockdown wakatuambia ni raia wangapi walipoteza maisha kwa njaa, msongo wa mawazo na magonjwa mengine kisha tulinganishe na athari za covid.
Kenya tu hapa wamekufa mamilioni kwa njaa na si Corona
 
Nyumbu bado wamelala wakiamka watakuja na povu la maana.
Kwahiyo Dr.Bell sio beberu tena?? Kesho akija na utafiti kwamba ushoga ni haki sababu ni genetical/hormonal je utaunga mkono??

Acheni unafiki CCM
 
Jamaa kwenye hili na la ujambazi daaah ni haki yake Kwa kweli japo intention yake haikuwa kuokoa bali kuendelea kupata pesa za Kodi , Sera zake za uchumi tuu ndo nilitofautiana naye bittery tena Sana
Mkuu ujambazi hasa vibaka kwa sasa ni kama wamefunguliwa mlango yaani wanaiba kweli kweli hasa TV huko. Mbey na rafik zangu wawili washachapiwa TV ndani ya week mbili ila nashukuru jesh la polis waliipata moja katika harakati za kuuza. Jana tu moja imechapwa tena wamevunja mlango na kuingia ndani. Sasa najiuliza JPM aliwezaje kuudhibiti huu ujambazi na uwizi mdogo kwa kutumia jeshi la polis hili hili?. Hizi kero za vibaka na ujambazi zinatupotezea amani wananchi.
 
Naomba mnisaidie hivi ni dunia nzima ilikua katika lockdown isipokua Tanzania tu?
Hili ndilo swali la msingi!! Ila Watanzania ni dhaifu sana katika kuchanganua masuala hasa ya kisayansi na kimataifa.

Klichokuwa kinaongelewa ni kudhibiti mipaka ya kuingia na kutoka na kuwapima wageni. Pili kuwaoima wagonjwa wanaoingia hospitalini na wakikutwa wana ugonjwa watengwe na kutibiwa.

Tatu kuandika chanzo cha kifo kuwa ni COVID19 iwapo mtu atakufa na COVID 19 na hatimaye kutoa takwimu kwa Shirika la Afya Duniani (WHO).

Lockdown kwa hapa Africa tuliishuhudia South Africa tu kwenye mazingira ya hali ya hewa inayoganana na Ulaya. Ulaya na America ndiyo walikuwa na lock down ambayo watu walizuiwa kutoka.

Kenya jirani zetu walikuwa na zuio kujumuika baada ya saa 12 jioni.

Mwendazake anatukuzwa na wasioelewa kama huyo Dr David Bell, Sina uhakika kama kweli ni mwanasayansi wa WHO
 
Kama takwimu za COVID hazikutolewa, huyo mchambuzi anajuaje wangapi walikufa au hawakufa na COVID?
Hilo ndiyo swali linatakiwa kujibiwa na wote wanaoshabikia propaganda za Mwendazake. Huwezi kuwa na valid conclusion kama huna takwimu zozote za waliokufa
 
Safi sana huyu Dr. kaongea ukweli mtupu tena ingepaswa nchi zilizoweka lockdown wakatuambia ni raia wangapi walipoteza maisha kwa njaa, msongo wa mawazo na magonjwa mengine kisha tulinganishe na athari za covid.
New Zealand ni success story ya lockdown toka mwaka jana. Utafiti ukiufanya kwa bias huwezi pata objective results.!!

Mfano kwenye utafiti unaopendekeza ningehoji je kwa watu waliobaki lockdown (and of course hawakupata corona) ni thamani gani in terms of dollars imepona sababu hawakuhitaji kwenda hospitali ama kufariki??

Of course ukifanya tafiti ya hivo utagundua lockdown ilikua effective kwenye maeneo yenye mlipuko. So tuache biasness ya tafiti
 
Kama takwimu za COVID hazikutolewa, huyo mchambuzi anajuaje wangapi walikufa au hawakufa na COVID?
Kwa mazingira yetu unafikiri watu walikufa kiasi kikubwa namna hiyo? Swala la vifo vilikuwepo lakini huwezi linganisha na mataifa mengine, kwa hilo JPM alikuwa sahihi ingawa wengi tulipinga hatua hiyo
 
Kuna dada mmoja mlokole yupo Tegeta. Alikuwa anamsifia Magufuli kuwa kamaliza Corona Tanzania. Mwaka jana mwezi June/Julay mama yake na bibi yake walikufa kwa Corona. Walipishana siku mbili.

Hadi leo hataki kumsikia Magufuli.
Magufuli katika hilo angefanaje?? Maana hatua za kawaida za afya kwa miezi hiyo tayari tulikuwa nazo kama Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…