Pre GE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Limeshawashinda kwasababu ya kukubali misaada ya masharti. Hawana usemi tena wamebaki kuigiza hisia za uchungu ilihali hisia ni kitu usichoweza kupretend. Hovyo kabisa
 
Ushoga ni suala pana mapambano yanaanzia ngazi ya familia hadi jamii nzima na siyo kumuachia mama Gwajima tu.

Pia kuna wizara za septa kama Wizara ya Mambo ya ndani, wizara ya elimu na Tamisemi wote wanaingia humo, inakuwaje kumbebesha huo mzigo mama Dorothy Gwajima peke yake.

Kwenye familia zetu tumefanya nini? Kwenye jamii zinazotuzunguka tumefanyanini?ama Gwajima peke yake hawezi kumaliza hili tatizo amefanya sehemu yake palipobaki wamaliziaji waendelee.
 
Gwajima kakazia hapo sheria zipo, na zitafuatwa endapo mtu atagundulika. Wameenda mashuleni. Walipofika kule kumbe mtoto ndio anapenda michezo ya hovyo. Anafanya na wenzake. Zaidi ya watano. Ila kesi alipewa mwalimu. Mwalimu yuko ndani. Mtoto michezo anafanya na wanafunzii wenzake. Waziri mzima kaaibika. Kijana akaachiwa. Nadhani alihamishwa shule na yuko halmashauri flani yule
 
Kwenye huu uzi mashoga wataeleweka tu.
Tunataka pale kwenye katiba mpya waweke wazi kabisa HAKI YA KUZAGAMULIWA KINYEO.

Vitu vyote viwekwe bayana ili tusije kusumbuana baadae kuhusu mambo ya vinyeo.

Let everything be clear and settled once and for all.

HAKI YA KUZAGAMULIWA KINYEO chini ya Ibara ya 13 ibara ndogo ya 5.

Tunamaliza moja kwa moja hakuna kuulizana ulizana maswali tena, mara sijui ni haki au sio haki, mara sijui nini!

Weka pale kwenye kifungu, HAKI YA KUZAGAMULIWA KINYEO.

Haki ya Kikatiba.
 
Duhh.
 
Wakati najiunga JF, nilijiaga hamna watu wajinga

Mkuu, hata km una za kuvukia barabara.... Huoni tu hapo Waziri kaamua kutumia madoido na Hisia zaidi lkn Hoja zake zimeeleweka?.

Sisi watu wenye akili ,Huwa Kuna wakati twaweza ongea jambo Kwa madaha, mbwembwe lkn Huwa tunalimaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…