presider
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,320
- 1,738
Waziri hko SobberKweli uchawi upo. CCM hawaaminiki kabisa. Huyu Wazir juzi juz hapa tumetoka mpa maua yake. Haujapita mwezi amefanya kituko Bungeni.
Hapa ukiuliza shida nini huwezi elewa. Alikuwa amelewa? Alikuwa anafanya masikhara? Mbona haeleweki?
View attachment 2994477
Waziri hlo jambo linamkera sana