Pre GE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

Pre GE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gwajima kakazia hapo sheria zipo, na zitafuatwa endapo mtu atagundulika. Wameenda mashuleni. Walipofika kule kumbe mtoto ndio anapenda michezo ya hovyo. Anafanya na wenzake. Zaidi ya watano. Ila kesi alipewa mwalimu. Mwalimu yuko ndani. Mtoto michezo anafanya na wanafunzii wenzake. Waziri mzima kaaibika. Kijana akaachiwa. Nadhani alihamishwa shule na yuko halmashauri flani yule
Ni vyema ukaifungulia uzi story hiyo au kisa hicho, hata tulio nje ya mipaka ya nyumbani tuijue.

Hali ni mbaya kwakweli.
 
Back
Top Bottom