Pre GE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

Pre GE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli uchawi upo. CCM hawaaminiki kabisa. Huyu Wazir juzi juz hapa tumetoka mpa maua yake. Haujapita mwezi amefanya kituko Bungeni.

Hapa ukiuliza shida nini huwezi elewa. Alikuwa amelewa? Alikuwa anafanya masikhara? Mbona haeleweki?
View attachment 2994477
Huyu comedian. Enzi za Nyerere huyu Leo angekuwa kashakula kalamu nyekundu. Nchi haiwezi kutoboa kwa masihala ya ivi . Never never
 
Huyo mama hana shida ya kiakili ila alikuwa akiongea na kuleta comedy isiyochekesha ktk mazingira ambayo watu wako serious. Ndio maana waliokuwa wakimsikiliza wakawa wanamshangaa anavyofanya vibweka vyake bila sababu ya msingi. Pia muuliza swali alipotakiwa kuuliza swali la nyongeza akaona asiulize chochote zaiei maana majibu ya Waziri yamekaa kimasihara.
 
Huyu kasoma mwenge secondary. Hii shule zamani ilikuwa inafundisha Sana sanaa na michezo. Hivyo hapo anafokisha ujumbe kwa njia ambayo ni ya kisanii na kulichangamsha bunge na kuwaamsha waliolala
 
Huyu kasoma mwenge secondary. Hii shule zamani ilikuwa inafundisha Sana sanaa na michezo. Hivyo hapo anafokisha ujumbe kwa njia ambayo ni ya kisanii na kulichangamsha bunge na kuwaamsha waliolala

Hii ni Id yako au yake.
 
Huyo mama hana shida ya kiakili ila alikuwa akiongea na kuleta comedy isiyochekesha ktk mazingira ambayo watu wako serious. Ndio maana waliokuwa wakimsikiliza wakawa wanamshangaa anavyofanya vibweka vyake bila sababu ya msingi. Pia muuliza swali alipotakiwa kuuliza swali la nyongeza akaona asiulize chochote zaiei maana majibu ya Waziri yamekaa kimasihara.
Kuna ujumbe alikuwa anaufikisha
Wenye akili watakuwa wamemuelewa

Ova
 
Hawa wabunge kumbe wengi wao ni wapumbavu sana.

Kwamba wanataka Gwajima azibe mikundu ya watu au afanye nini?

Kupambana na ushoga ni jambo lisilowezekana kwa sababu ni jambo la siri na la faragha mno.

Hakuna namna unaweza kumzuia mtu kufirwa. Akitaka anafirwa na hakuna kitu venye utafanya.

Tuwalinde watoto dhidi ya ulawiti, lakini tusiingilie vijambio vya watu wazima.

Sitaki mtu aje aniambie ati usizagamuliwe kijambio! Kivipi? Under which law? If there is such law, is it CONSTITUTIONALLY JUSTIFIABLE? Au ni masheria ya kijinga jinga tu!

Kijambio ni changu mwenyewe hata nikitaka kukijaza mchanga sitarajii kuona waziri yoyote ananiuliza swali.

Nadhani tunaelewana.

Cc Lamomy Poor Brain dronedrake
😂😂😂😂😂 wizo unatumia kitu gani kabla ya kujoin JF na kureply comments.??!!!
 
Back
Top Bottom