Pre GE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu comedian. Enzi za Nyerere huyu Leo angekuwa kashakula kalamu nyekundu. Nchi haiwezi kutoboa kwa masihala ya ivi . Never never
 
Huyo mama hana shida ya kiakili ila alikuwa akiongea na kuleta comedy isiyochekesha ktk mazingira ambayo watu wako serious. Ndio maana waliokuwa wakimsikiliza wakawa wanamshangaa anavyofanya vibweka vyake bila sababu ya msingi. Pia muuliza swali alipotakiwa kuuliza swali la nyongeza akaona asiulize chochote zaiei maana majibu ya Waziri yamekaa kimasihara.
 
Huyu kasoma mwenge secondary. Hii shule zamani ilikuwa inafundisha Sana sanaa na michezo. Hivyo hapo anafokisha ujumbe kwa njia ambayo ni ya kisanii na kulichangamsha bunge na kuwaamsha waliolala
 
Huyu kasoma mwenge secondary. Hii shule zamani ilikuwa inafundisha Sana sanaa na michezo. Hivyo hapo anafokisha ujumbe kwa njia ambayo ni ya kisanii na kulichangamsha bunge na kuwaamsha waliolala

Hii ni Id yako au yake.
 
Kuna ujumbe alikuwa anaufikisha
Wenye akili watakuwa wamemuelewa

Ova
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wizo unatumia kitu gani kabla ya kujoin JF na kureply comments.??!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…