Pre GE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waziri Gwajigirl amewasilisha vizuri kama alivyosapotiwa na mwenyekiti wa bunge. Maza yupo seriazi kichizi kwenye job yake. Amekaa kisanii pia so Kuna wakati huko twita mnaweza kujibizana as if unachati na classmate kumbe ni top official wa nchi.

Kamatia hapo shemeji Dkt. Gwajima D
 
Au sio?
 
Mh. Dr Dorothy Gwajima ni jembe sana. Kimajukumu, she performs so good so far.

Sidhani kama hapo amelewa. She is very sober with sound mind. Sometimes ni mtu wa swaga na ucheshi.

Binafsi, naona Wizara anaitendea haki vyema. Ni miongoni mwa mawaziri ninaowakubali to the fullest.

Long live madam Gwajima. 😎

-Kaveli-
 
Wizooo umemaliza kila kitu, cna cha kuchangia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itungwe sheria shoga likithibika lipigwe risasi hadharani.
Tulinde maadili yetu.
Nikiwa Rais mashoga yote nachoma moto
Labda uwe Rais wa kijijini kwenu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…