Gwajima kakazia hapo sheria zipo, na zitafuatwa endapo mtu atagundulika. Wameenda mashuleni. Walipofika kule kumbe mtoto ndio anapenda michezo ya hovyo. Anafanya na wenzake. Zaidi ya watano. Ila kesi alipewa mwalimu. Mwalimu yuko ndani. Mtoto michezo anafanya na wanafunzii wenzake. Waziri mzima kaaibika. Kijana akaachiwa. Nadhani alihamishwa shule na yuko halmashauri flani yule