Umekosea tathmini yako.
Alamsiki
Amandla...
Nakuachia kitendawili ukitaka kujua upuuzi wa huyo mtu nakupa tips mbili.
1 Soma kitabu cha John Bolton ‘the room where it happened’ (kama bado) uone namna gani watu wanavyo lobby kupata nafasi ambazo sifa zake lazima uwe unaelewa mpana wa National security na maslahi mapana nje ya US. Yeye mwenyewe Bolton aliteuliwa baada ya aliekuwa kwenye hiyo nafasi alikataa wazo la Trump kujitoa kwenye nuclear deal ya Iran, alipewa yeye sababu m Bolton alikuwa promote wa US kujitoa.
2 Rudi nyuma soma kitabu cha zamani kidogo cha Bob Woodward ‘Bush at War’ uone jinsi gani hao wataalamu wanavyokosea saa zingine na kuwapotosha viongozi.
Bush alikuwa mtu wa mwisho kuamini kwenda Afghanistan ni jambo la busara. Akiamini kuwapiga Taliban sio issue, isipokuwa baadae hiyo invasion itawekewa propaganda za kidini na hapo ndio hiyo vita itakapo kuwa ngumu (kitabu kimeandikwa mwanzo tu wa vita).
Guess what US walipoingia Afghan waliitoa Taliban ndani ya week mbili au tatu using 2 marine units which equates to like 24 soldiers (not definite sure each unit has how many soldiers though but you get the idea) hao marines walishirikiana na local militia ambao walikuwa anti Taliban in Afghansitan mainly local tribes.
Baada ya kuwashinda kilichofuats as Bush predicted, proganda za kidini zikaanza its us against them, iko ndio kilichopelekea vijana kujiunga na Taliban the rest is history ila iyo nchi imekuwa tatizo mpaka leo kuendeshwa as Bush feared.
Hizo ndio moja ya sababu western countries wameanza kuwa waoga sana kupeleka askari vita vya Middle East.
Lissu awezi shinda vita yake maana itakuwa kati ya sisi na wao; viongozi wa dini wapo upande wa sisi, viongozi wa siasa wengi ukitoa CDM wapo upande wa sisi, celebrities wapo upande wa sisi, wafanyabiashara wakubwa wapo upande wa sisi.
The sooner Mbowe realises tactics za Lissu zinakiuwa chama the better, jamaa anaenda iuwa CDM believe or not.
Serikali inatambua Lissu awezi kuishi Tanzania kwa sababu wanaomtumia itakuwa ngumu kumfundisha mbinu bila ya mawasiliano yao kuingiliwa.
Lissu is a rotten apple
Till next time