issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,788
- 5,217
Angekuwa amefanya kazi ya maana huko TAMISEMI, basi jiwe asingemwambia jafo kuwa wizara haina ufanisi wa kaziHuyu mama yupo vizuri ni swala la muda utamkubali labda haujumiwe na watendaji wenzake ila nakuambia ni Moto toka akiwa Tamiseni alikuwa anafanya kazi sana na izo mbwembwe zilikuwepo