Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Again, I beg to differ. Siichukulii TISS poa lakini siamini kama ina uwezo wa kuingilia communications za mataifa ya magharibi.Usiichukulie TISS poa hizi propaganda za nationalism; raisi, waziri mkuu na Bashiru wanazoziongelea usidhani nikufurahisha umati hao watu wanataarifa.
Lissu is a snake, awezi ishi Tanzania anajua mawasiliano yake yataingiliwa. Inawezekana kabisa anaachiwa ili serikali ijifunze kupitia kwake motives za mataifa ya west kwa Tanzania.
Usione watu wapuuzi walipomuacha avunje kanuni za uchaguzi huku wakijua awezi shinda; na wao wana motives zao.
Kama serikali inahitaji kumtumia Lissu ili ijue motives za mataifa ya magharibi dhidi yake, then we have serious problems.
Sidhani kama Lissu alivunja kanuni yeyote ya uchaguzi. We all know kuwa asingeachiwa kama angefanya hivyo.
Naamini vile vile kuwa sio sahihi kumuita mtu ambae mnatofautiana kisiasa nyoka maana wote tunajua kuwa hamna namna tutamruhusu nyoka aliye chumbani kuendelea kuishi. Ni kama vile kumuita mende. Sio vizuri.
Lakini nadhani ni vyema kama tukifunga mjadala kwa kukubaliana kutofautiana.
Amandla...