Dr. Dorothy Gwajima na makeke kama Kangi Lugola

Ni hivi tunapokwenda kwenye nyumba za ibada viongozi wa dini wanapotoa sermon.

Kuna makundi yafuatayo yatamuelewa zaidi anatokea wapi na maneno yake; kuna wanaosoma vitabu vya dini, wale waliojifunza dini wakati wadogo na wacha mungu sana.

Wengine dini ambayo aijatukaa sana sana tunaokota okota wakati sermon inaendelea na kujifunzia hapo hapo kwa sababu hatuna shaka na uelewa wa mwalimu wetu.

Ndio kama baadhi ya watu wanavyomuona huyo mama kwa wale wenye kuelewa management ya afya awamuoni kama mtu anaepayuka isipokuwa as part ‘systematic control’ ya policy (miongozo ya wizara iliyopo) kwenye ziara zake kuna wasaa anazungumzia aspect za ‘empowering services users’, managing Human Resources, managing financial resources, facilitating changes, managing quality and health promotion; based on current ministry policies of operation.

Kwa ivyo kama unaelewa wa management za afya unaweza kuona value yake and apparently wizara ina policies and guidelines nzuri tu tayari juu ya mambo mengi nimejifunza ivyo kupitia kwake kwa sababu anajua namna ya utekelezaji wake unavyotakiwa kuwa na akifika ana mbinu za kukaguwa.

Usione kwenye video zingine anafika sehemu ananyanyua godoro na kufungua cover ukadhani mwehu kuna regulations pia mpaka za quality za mahala wagonjwa wanapotakiwa kulala.

Hali kadhalika kwa wale wasiolewa management ya afya wanaweza muona anapayuka tu, bila ya kuelewa kwanini.

Kwa mtu yeyote ambae anadhani ipo siku atatumia hospitali za serikali kwenye chi ambayo kuna gap kubwa kwenye utolewaji wa kiwango cha huduma kati ya walionacho na wasionacho (and the probabilities of coming out alive) basi huyu mama ni mkombozi nina imani atafanikiwa kuweka standardisation ya huduma katika hiyo wizara.

Afanyi ivyo kutafuta sifa bali kwa maslahi mapana ya watumiaji wa huduma.
 
Huyo mama ni mpiga mayowe kama alivyokuwa Kanga Lugole. Muda utasema
 
Huyo mama ni mpiga mayowe kama alivyokuwa Kanga Lugole. Muda utasema
Mna mwangia sana kwa ivyo sitoshangaa akitumiliwa husda ya jicho nayo inanguvu.

Lakini ukweli utabaki kuwa akitolewa hapo anaepoteza zaidi siyo yeye isipokuwa watumiaji wa huduma za afya hasa wale wasionacho.
 
Huyu mama hata ujengaji wa hoja zake namuona ni mweupe sana muda tu utasema ukweli nae namuona ni garasa.
 
Mawaziri wameteuliwa Kwa kuzingatia Mikoa yao! Kanda ya ziwa ina Mikoa mingapi? Kama ni zaidi ya mmoja basi tulia dawa ikuingie acha udaku! Au ulikimbia hesabu?

Queen Esther
Mkuu, ulinielewa vibaya!! nimezungumuza hili bila chuki na unafiki kabisaa!! Mi nilimanisha wingi Kama wingi!!
 

We fake kweli. Unatafuta tu mahali lazima umtaje Rais. Ungeenda kumsadia babu Fake Original Lissuu. Mbebaa maono ya wazungu.
 
Akitumia utaratibu ilio wazi kama Daily briefing,safety meetings,vikao vya ndani zitambana kupika majungu.Yawezekana alikuwa anatamani ukubwa sasa kapewa hadi uwaziri wa wizara hiyo hiyo.Kazi kwake kwani Magufuli na umma unasubiri matokeo.
 
Hivi ni mke wa gwajima?
 
Hivi kuna mtu alikua na makelele na sera ya viwanda kama Kaijage[emoji4]
 
Aweza Kuwa Na Mkwara ila ana mipango mizuri tukumbuke sekta ya Afya ni eneo nyeti sana inataka mtu anaepajua vizuri..Walipompa Ummy nilishangaaa mana pale panatakiwa Taaluma kabisa kabisa na uwezo wa kujua haya masuala.

Moja ya Eneo la kuweka uwekezaji Mkubwa sana ni hili lakini pia Waboreshee wafanyakazi na Madaktari mishahara...

Tumpe muda mana naona Mawaziri Sio huyu tu mnaemsema Angalieni Yule Aweso Nae ni kutumbua tumbua ambako hakusaidii sana wakati mwingine majungu mengi serikalin sasa Waziri ukiwa unapenda sana kutumbua sikiliza upande ule kwanza.
 
Asibadilike kwasababu ya cheo yeye aendelee kama alivyo ubaya in kujioneshaonesha lkn kuongea sio mbaya.
Watu waelewe kuondolewa madarakani na magu ni utashi wake yeye na haimaanishi hufai?? Hata magu ingewezekana angeondolewaga uwaziri enzi yake kama rais angekuwa kamayeye...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…