zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Waseme kwamba naye ni gaidiJana kulifanyika uchaguzi wa gharama zaidi katika historia ya chaguzi za ndani ya Democrats, ambapo mgombea mwenye mrengo wa pro-palestine
Abdul El Sayed amemshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-Israel kupitia AIPAC; Haley Stevens katika uchaguzi wa kupata mgombea wa democrats wa kiti cha senate mwezi November.
Pro Israel kupitia American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) waliwekeza zaidi ya USD 65 Million (172 Billion Tsh) kwa mgombea wao Haley Stevens kwa ajili ya kampeni hasa matangazo ya mitandaoni na vyombo vya habari ili kuwafikia wapiga kura wengi zaidi. Pesa hii pia ilitumika kufanya kampeni za kumchafua mgombea Al Sayed kama gaidi na mhamiaji haramu ili kumpunguzia ushawishi.
View attachment 3644423
Bahati mbaya sana kampeni hizo hazikuvuna chochote baada ya El Sayed kushinda. Ikumbukwe pia mgombea mwingine nafasi ya uwakilishi huko Michigan ambaye ni Pro-Palestine; William lawrence naye alimshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-israel lobby groups kama AIPAC.
Trend hii imeendelea ambapo mwezi uliopita tuliona wagombea waliokuwa pro-palestine walishinda kura za maoni huko New York (jimbo lenye wayahudi wengi zaidi marekani) kwa kuwaangusha wawakilishi wa miaka mingi licha ya mabilioni kumwagwa na AIPAC kuwapigia kampeni wagombea hao.
Hizi chaguzi zinatoa funzo kuwa mtazamo wa Marekani kuhusu Israel unazidi kubadilika. Miaka ya nyuma isingekua rahisi kuipinga israel na ukashinda hata kwa democrats. It's a wake up call kuwa wazayuni wanazidi kukataliwa maeneo mengi duniani licha ya kumwaga mabilioni kununua wapiga kura.
View attachment 3644422
Jana kulifanyika uchaguzi wa gharama zaidi katika historia ya chaguzi za ndani ya Democrats, ambapo mgombea mwenye mrengo wa pro-palestine
Abdul El Sayed amemshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-Israel kupitia AIPAC; Haley Stevens katika uchaguzi wa kupata mgombea wa democrats wa kiti cha senate mwezi November.
Pro Israel kupitia American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) waliwekeza zaidi ya USD 65 Million (172 Billion Tsh) kwa mgombea wao Haley Stevens kwa ajili ya kampeni hasa matangazo ya mitandaoni na vyombo vya habari ili kuwafikia wapiga kura wengi zaidi. Pesa hii pia ilitumika kufanya kampeni za kumchafua mgombea Al Sayed kama gaidi na mhamiaji haramu ili kumpunguzia ushawishi.
View attachment 3644423
Bahati mbaya sana kampeni hizo hazikuvuna chochote baada ya El Sayed kushinda. Ikumbukwe pia mgombea mwingine nafasi ya uwakilishi huko Michigan ambaye ni Pro-Palestine; William lawrence naye alimshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-israel lobby groups kama AIPAC.
Trend hii imeendelea Marekani ambapo mwezi uliopita tuliona wagombea pro-palestine wakishinda kura za maoni huko New York (jimbo lenye wayahudi wengi zaidi marekani) kwa kuwaangusha wawakilishi wa miaka mingi na pro-israel licha ya mabilioni kumwagwa na AIPAC kuwapigia kampeni wagombea hao.
Hizi chaguzi zinatoa funzo kuwa mtazamo wa raia wa Marekani kuhusu Israel unazidi kubadilika. Miaka ya nyuma isingekua rahisi kuipinga israel na ukashinda hata kwa democrats. It's a wake up call kuwa wazayuni wanazidi kukataliwa maeneo mengi duniani licha ya kumwaga mabilioni kununua wapiga kura.
View attachment 3644422
Hii yote ni fullfillment ya bible end time prophecy kwa wanaofuatilia eschatology hamna kipya hapo.Kwa kifupi pro muslims pro palestine na ambao ni socialists watendelea kuchukua uongozi US na hata europe na very soon US economy na europe itacollapse. US haitokuwa tena na nguvu na infact itavunjika na kutokuwa tena muunganiko wa states. Kuna mambo anafanya Trump kuhusu kuleta two state solution Israel na kuiuzia ndege vita turkey, kumshabikia Sharaa wa Syria. Yeye anajua anapatika ila kumbe maamuzi yake yanaenda igharimu US big time.Jana kulifanyika uchaguzi wa gharama zaidi katika historia ya chaguzi za ndani ya Democrats, ambapo mgombea mwenye mrengo wa pro-palestine
Abdul El Sayed amemshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-Israel kupitia AIPAC; Haley Stevens katika uchaguzi wa kupata mgombea wa democrats wa kiti cha senate mwezi November.
Pro Israel kupitia American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) waliwekeza zaidi ya USD 65 Million (172 Billion Tsh) kwa mgombea wao Haley Stevens kwa ajili ya kampeni hasa matangazo ya mitandaoni na vyombo vya habari ili kuwafikia wapiga kura wengi zaidi. Pesa hii pia ilitumika kufanya kampeni za kumchafua mgombea Al Sayed kama gaidi na mhamiaji haramu ili kumpunguzia ushawishi.
View attachment 3644423
Bahati mbaya sana kampeni hizo hazikuvuna chochote baada ya El Sayed kushinda. Ikumbukwe pia mgombea mwingine nafasi ya uwakilishi huko Michigan ambaye ni Pro-Palestine; William lawrence naye alimshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-israel lobby groups kama AIPAC.
Trend hii imeendelea ambapo mwezi uliopita tuliona wagombea waliokuwa pro-palestine walishinda kura za maoni huko New York (jimbo lenye wayahudi wengi zaidi marekani) kwa kuwaangusha wawakilishi wa miaka mingi licha ya mabilioni kumwagwa na AIPAC kuwapigia kampeni wagombea hao.
Hizi chaguzi zinatoa funzo kuwa mtazamo wa Marekani kuhusu Israel unazidi kubadilika. Miaka ya nyuma isingekua rahisi kuipinga israel na ukashinda hata kwa democrats. It's a wake up call kuwa wazayuni wanazidi kukataliwa maeneo mengi duniani licha ya kumwaga mabilioni kununua wapiga kura.
View attachment 3644422
Hata Mamdani hakuna aliyedhani angeshinda Jiji kubwa la New York maana Trump aliweka nguvu zote kumzuia ila bado alitoboa.Hawa ni Democrats.
Je ni dhahiri watawashinda Republican kwenye uchaguzi Nov?.
Kwasababu kwa sasa Republican watamsupport Trump na itikadi zake mashariki ya kati.
Bila shaka Democrats Watashinda kwa uwingi Hapo November.
Labda senate ndio republicans wanaweza shinda ila huku wa wabunge republicans hawatoboi wataangushwa asubuhi kabisa.Kiunzi cha pili Republicans, hao Democrats wanaenda kuangushwa kwenye uchaguzi.
Trumpn ameshaanza kudai uchaguzi umeibwa, na kwamba hawawezi kubali "gaidi" awe Senator. Nadhani wanavyodhidi kumshambulia wanamuongezea umaarufu kuliko wangempuuza, wajifunze kwa Mamdani walipompinga ndio ikafanya raia wengi zaidi wampigie kura za hasira kumkomesha Trump.Waseme kwamba naye ni gaidi
Ndo mchungaj wenu anavowambia huko kweny kanisa la mabat?Hii yote ni fullfillment ya bible end time prophecy kwa wanaofuatilia eschatology hamna kipya hapo.Kwa kifupi pro muslims pro palestine na ambao ni socialists watendelea kuchukua uongozi US na hata europe na very soon US economy na europe itacollapse. US haitokuwa tena na nguvu na infact itavunjika na kutokuwa tena muunganiko wa states. Kuna mambo anafanya Trump kuhusu kuleta two state solution Israel na kuiuzia ndege vita turkey, kumshabikia Sharaa wa Syria. Yeye anajua anapatika ila kumbe maamuzi yake yanaenda igharimu US big time.
Socialistic control itaenea sana na inaletwa na hawa muslim democrats.
Anyway ni wakati wa shetani kutamba kwa muda kwa hiyo acha apanga timu yake vizuri.
Pole yao watakaokuwepo
Ni kwamba Israel kupitia AIPAC imechokwa na Wamarekani wa kizazi kipya cha wapiga kura? Au ni wapiga kura wanataka tu kubadili aina mpya ya Uongozi?..Jana kulifanyika uchaguzi wa gharama zaidi katika historia ya chaguzi za ndani ya Democrats, ambapo mgombea mwenye mrengo wa pro-palestine
Abdul El Sayed amemshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-Israel kupitia AIPAC; Haley Stevens katika uchaguzi wa kupata mgombea wa democrats wa kiti cha senate mwezi November.
Pro Israel kupitia American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) waliwekeza zaidi ya USD 65 Million (172 Billion Tsh) kwa mgombea wao Haley Stevens kwa ajili ya kampeni hasa matangazo ya mitandaoni na vyombo vya habari ili kuwafikia wapiga kura wengi zaidi. Pesa hii pia ilitumika kufanya kampeni za kumchafua mgombea Al Sayed kama gaidi na mhamiaji haramu ili kumpunguzia ushawishi.
View attachment 3644423
Bahati mbaya sana kampeni hizo hazikuvuna chochote baada ya El Sayed kushinda. Ikumbukwe pia mgombea mwingine nafasi ya uwakilishi huko Michigan ambaye ni Pro-Palestine; William lawrence naye alimshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-israel lobby groups kama AIPAC.
Trend hii imeendelea Marekani ambapo mwezi uliopita tuliona wagombea pro-palestine wakishinda kura za maoni huko New York (jimbo lenye wayahudi wengi zaidi marekani) kwa kuwaangusha wawakilishi wa miaka mingi na pro-israel licha ya mabilioni kumwagwa na AIPAC kuwapigia kampeni wagombea hao.
Hizi chaguzi zinatoa funzo kuwa mtazamo wa raia wa Marekani kuhusu Israel unazidi kubadilika. Miaka ya nyuma isingekua rahisi kuipinga israel na ukashinda hata kwa democrats. It's a wake up call kuwa wazayuni wanazidi kukataliwa maeneo mengi duniani licha ya kumwaga mabilioni kununua wapiga kura.
View attachment 3644422
Mwaka huu AIPAC inazidi kuumbuka sana, inamwaga mabilioni ila wagombea wake wakikutana na pro-palestine wanapigwa chini. Hii ni wake up call kubwa kwa wazayuni kama walizoea rushwa kuwapa uhai wa kisiasa basi muda huo umeshapita Gen Z ni kizazi tofauti kabisa.
kama kawaida ya walokole mavi na upupu waliofundishwa na wachungaji wao vilazaHii yote ni fullfillment ya bible end time prophecy kwa wanaofuatilia eschatology hamna kipya hapo.Kwa kifupi pro muslims pro palestine na ambao ni socialists watendelea kuchukua uongozi US na hata europe na very soon US economy na europe itacollapse. US haitokuwa tena na nguvu na infact itavunjika na kutokuwa tena muunganiko wa states. Kuna mambo anafanya Trump kuhusu kuleta two state solution Israel na kuiuzia ndege vita turkey, kumshabikia Sharaa wa Syria. Yeye anajua anapatika ila kumbe maamuzi yake yanaenda igharimu US big time.
Socialistic control itaenea sana na inaletwa na hawa muslim democrats.
Anyway ni wakati wa shetani kutamba kwa muda kwa hiyo acha apanga timu yake vizuri.
Pole yao watakaokuwepo
omba viza wewe mlokole mavi tuone kama wanataka nyani wa kigalatia wakawapigie kuraOna wapiga kura
Dear born walipiga kura watu elfu 20 pekee katika uchaguzi wenye kura Million 2.5!! Sawa na 0.008 pekee ya wapiga kura wote Michigan.Ona wapiga kura