Naona sasa Kizimkazi mshaanza kumtupa mkono.Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.
Nidhamu, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wee usiniambie 😀Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.
Nidhamu, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kwa kweli sina maoni isipokuwa naona mgambo wameanza tu kukanyagana.Una maoni gani?🐒
Taratibu mmeshaanza kuasiNi dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.
Nidhamu, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Naunga mkono hoja, kwa asilimia 100% chini ya 100% na niliandika humu mara kadhaa kumhusu mtu huyu,Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.
Nidhamu, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
John Nchimbi is a great guy........Ana msimamo na siyo chawa kama Mwigulu Nchemba.Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.
Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Umepanick 😂😂😂Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.
Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wakati mwingine chawa huwa akili zinawarudia!Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.
Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Utaratibu upi?Naunga mkono hoja, kwa asilimia 100% chini ya 100% na niliandika humu mara kadhaa kumhusu mtu huyu,
-
- https://www.jamiiforums.com/threads...eli-ili-kumsaidia-aomba-rais-aombewe.2418533/
- https://www.jamiiforums.com/threads...a-utawasaidiwa-sana-watanzania-iwapo.2459218/
- https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/
- https://www.jamiiforums.com/threads...30-twende-naye-kwa-utaratibu-ule-ule.2456741/Wanabodi,
Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PNA, kirefu chake ni PPR News Analysis. Tamka (P.N.A)
Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa.
PNA ni kufuatia kuwepo kwa gaps za kutokuwepo kabisa uchambuzi wa habari kwenye media zetu,hukuna any serious or critical analysis ya news kwenye media zetu, kuanzia magazeti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wowote wa kina wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.
Kufuatia my long experience ya uzoefu wa muda mrefu,wa zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News...
- Pascal Mayalla
- Replies: 49
- Forum: Jukwaa la Siasa
Nakuomba kwa nyie wenzetu mliobahatika kuwa karibu na watu wa ndani ya chama, washaurini waache zile .mambo zao kama walizomfanyia yule jamàa yangu wa 2015. jamaa alipania sana, lakini watu bila aibu huku wanamuangalia usoni, wakamchinjia baharini.
Waambieni huyu sio mtu mwepesi kihivyo, wakimletea figisu za kumchinjia baharini, this time around patachimbika kweli and if a worse comes to a worse, then utalazimika kutumika utaratibu ule ule...
P
Utaratibu ule ule uliotumika!. Kwani aliyeopo aliomba kugombea?, si baada ya kumuona ana faa ukafanyika tuu utaratibu, akateuliwa. Kama kuna dalili zozote za zengwe kumzuia mtu wetu asigombee urais 2030, then, hakuna haja ya kusubiri hadi 2030, kunafanyika tuu utaratibu fulani hapa katikati, tunamaliza kazi!.Utaratibu upi?