Dr. Emmanuel John Nchimbi ni uncompromised statesman Tanzania

We ndiyo maana unadharaulika, tumia akili badala ya makalio. Tuambie ni kipi wapi Nchimbi akiwa nani kafanya jambo la maana. Unaiaibisha hiyo CCM yako, we mtu wa hovyo unafanya siasa za hovyo! Nchimbi hana rekodi yoyote ktk utumishi wake, anachoweza ni fitina ktk siasa za CCM, we kinachokusumbua ni ukatoliki. Wemmbulu ni zoba kweli, sijui kwanini mwanaume mzima huoni hata aibu? Huna kazi ya kufanya mpaka uamkie huo upuuzi?
 
Asante sana mwalimu P,
imenibidi nicheke kwanza.

reference zako daima huonyesha how focused are you na uko mbele sana ya muda katika kutathimini mambo kwa mbali sana kadiri yanavyokuja, na hapo unatoa ushauri,

umenikosha sana mwalimuP, na sina neno hata moja dhidi ya mapendekezo na ushauri wako kuhusu the statesman na haiba yake kwenye figisu 🀝
 
ikiwa uko pointless,
just relax tu, huna haja ya kuweweseke wala kua na mihemko jukwaani,

Halafu,
ni muhimu ujifunze kuupokea ukweli bila mihemko wala makasiriko gentleman na itapendeza zaidi. You think 2030-2040 kuna anatakae mbabaisha Dr.Emmanuel John Nchimbi ndani na nje ya chama chake?


halafu,
kwani ukinidharau au kunitukana jukwaani inanipunguzia nini mimi kwa mfano gentleman?
 
hujui historia gentleman,
huna haja ya kupotosha wadau wa Jf, zingatia maelezo ya msingi na uishi nayo bila kubabaika, kwasababu hakuna mbadala wa statesman Dr Emmanuel John Nchimbi ndani na nje ya chama chake come 2030-2040πŸ’
 
Vile anavyojitokeza, akitembea na kiweka mikono yake kiutukufu kwa nje ndio anazidi kujionesha yeye ni SHETANI KABISA kwa ndani.

Tapeli kabisa huyo.
hayo unayafuatilia wewe gentleman, mimi sifahamu kabisa,

binafsi nadeal na mambo ya kifalsafa pekee πŸ’
 
BILA KUIBA KURA HAKUNA MATUMAINI KWA CHAMA CHA MAPINDUZi
 
Drama
 
Naona sasa Kizimkazi mshaanza kumtupa mkono.

Nashukuru sana kwa kuwa mwepesi wa kuelewa mawazo ya wana cdm dhidi ya bi Msumi
Hahaha 🀣 yaani umeamua kumbananisha jamaa ili akiri yeye ni wa upande upi ??!

Lakini jibu lake litakuwa lile lile maarufu
Nosensi 🀣 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…