Dr faza Kitima, hamtamki Dr Samia na Dr Nchemba kama Dr je WAJUA kwa Nini? Elimu ya ZAWADI Haina mvuto

Dr faza Kitima, hamtamki Dr Samia na Dr Nchemba kama Dr je WAJUA kwa Nini? Elimu ya ZAWADI Haina mvuto

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe

Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana

Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje KUSOMea PhD na kuwa madr?

Sikuwai kupewa jibu na naomba nikili nilipohoji kupitia jamii forum wapo waliokuja dm na VITISHO lakini hawakushinda
Uchungu tulio nao wanao pia watu kama Akina faza Kitima yaani awezi muita mtu kwa hadhi ya udakitari wakati anajua ulinunuliwa au ULIPEWA ZAWADI na yeye aliupambania kuuupata

Ndio maana Faza Kitima kote Samia na Mwingulu aliwatambusha kwa majina Yao kwanza na sio vyeo vya kitaaluma
Thankyu sir faza Dr Kitima kwa kuheshimisha taifa.
 
Back
Top Bottom