Tulionya kuwa huyu hafai kuwa kiongozi wa taasisi kama hiyo lakini bado akina Fatuma , Lisu and wasomi wazuri wengine wakampigia kampeni. Ona sasa hawezi kufungua mdomo kukemea haya yanayoendelea maana naye ni CCM.
Lisu umepata la kujifunza angalau kwa hili?
Hosea mwoga , mzee, hawezi harakati za sasa na tuliwaonya kuwa huyu ni spent force hawezi uongozi wa taasisis kama hizi ambazo by principle ni za kupambana na udhalimu wa watawala.
Ameifanya TLS kuwa tawi la CCM, kwisha habari yake!