- Thread starter
- #21
Ngoja nipunguze watu wa kusoma msg zao. After 10 minutes naku block!Mbowe baada ya kumalizana na chacha wangwe na kumuundia Zengwe Zito ili afukuzwe chamani, alikuja kugundua kuwa mtu pekee aliebaki tishio kwa kiti chake pale chadema ni Lisu ukizingatia ushawishi aliokuwa nao Lisu wakati ule. Mbowe aligundua kupitia mtandao wake chamani kuwa Lisu angesimama nae katika uchaguzi wa chama na mwisho wake ingekuwa Lisu awe mwenyekiti na Mbowe kuangukia pua kutokana na maboko mbali mbali aliyoyafanya ndan ya chama kama vile kubadili gia angani nk. Sasa Mbowe alichofanya ni kuwahi kumalizana nae kama alivyomalizana na Chacha Wangwe, lkn kwa bahati mbaya mission yake ilifeli na kuamua kumkimbiza dereva wa Lisu ambae alikuwa anajua kinachoendelea ili kupoteza ushahidi. Sasa Lisu ashaanza kupata picha ya kilichomtokea na sasa ana revenge kupitia njia nyingine ambayo ndio hii tunayoiona.