Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Hili ndilo ninalopendea JF
Ukimgusa Magufuli kuna watu wanatamani kukutoa macho
Ukimgusa Lowassa kuna watu wanatamani kukuchuna ngozi...
Ila nisaidiwe kitu kimoja....je nani kaiua ATC kikamilifu?? Huyu sitamsamehe kabisaaaa.....
tunatia aibu kama nchi kuwa na shirika la ndege linalofanya kazi mithili ya "white elephants projects"......tunatia aibu kabisa....ndege hakuna ya uhakika japo wako watu wanajiita wafanyakazi wa ATC na wanakula mishahara kwa uhakika