Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 845
Kumchagua magufuli ni kujitafutia dhambi kwa Mungu tuuu
Hatuwez kutafuta dhambi za bure sisi
Mungu gani aliyekuambia hivyo??? Au unaongea tu??? Unamjua Mungu wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumchagua magufuli ni kujitafutia dhambi kwa Mungu tuuu
Hatuwez kutafuta dhambi za bure sisi
Mungu gani aliyekuambia hivyo??? Au unaongea tu??? Unamjua Mungu wewe?
huyu yericho anastaajabisha. anatafuta ubaya wa magufuli kwa darubini wakati watu wanaona uzuri wake kwa macho. ni wazi ametumwa kwa ujira.
Kuna hoja unayoweza kuijibu kijana?
bado hujatueleza kuhusu bilal unarukia mengine nafikiri sheria ya mtandaoni ikianza wewe utakuwa mwathirika wa kwanza
Hivi wewe una akili jadili hoja,tafakari, chambua kisha sema neno acha jaziba utendaji unauona weweMKUU NAWASHANGAA HAWA JAMAA WANASEMA SIASA SIO VITA WALA UGONVI WALA UNAFIKI LKN MTU AMBAYE ANA AKILI TIMAMU ETI ANAPONDa KAZI ALIYOIFANYA MAGUFULI KATIKA TAIFA HILI ,KWA MWENYE AKILI NI WENDAWAZIMU, UNAMSHAngilia mtu ambaye amekuwa kimia pasipo kujadirihoja yeyote ya maslai ya taifa ndani ya miaka 7 na kumchafua magufuli,ni bora kuchukua mda kumsifia lowasa kwa yale aliyoyafa kuriko uchafu wao,
najua yericko, tatizo ni umalaya wa siasa na kukubali kutumika hata kama unajua ukweli wa kitu na kujitia wendawazimu kwa siasa chafu,
sitaki kusema mengi ila jiulize maswali haya
,unapomkashi magufuli kiasi hiki kwa sababu ya kutumika tu
1,wewe umelifanya nini taifa hili kwa umri wako kiasi cha kuona alichokifanya magufuli ni upuuzi kiasi hiki?
2,kushidwa kwa magufuli unakupimaje ili hali mgombea wako ameongoza wizara ya maji hadi anatoka baro maji yalikuwa janga la taifa?
miaka saba ya ukimia unawezaje kulinganisha na magufuli kwa kile alichokifanya japo macho yenu ya kipofu wa siasa hamuyaoni hayo bali miaka saba ya ububu ndo shangwe kwenu,
ni aibu kwa siasa za naman hii,