Mr. Nice Guy
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 190
- 27
Rais hana mamlaka ya kuvunja katiba ya nchi. Suala la mahakama ya kadhi kuwekewa msimamo na mku wa nchi ni ukiukwaji wa katiba. Endeleeni kuisubiri mahakama ya kadhi serikalini huenda itatokea siku atakuja rais kama JK aliyeiweka ahadi isiyotekelezeka kwenye ilani
Hapa, kwa huyu :welcome::welcome::welcome::welcome:
akili zilizojaaa mavi ndio kama hizo zinaanza kuongea kuhusu mahakama za kadhi leo, ulitegemea atatokea rais toka dini yako tena? acha ufamba.
Mmesha anza chokochoko zenu za udini,mwacheni magufuli aangalie mambo ya msingi ya maendeleo.
Kazi ya rais sio kujenga misikiti wala kutawaza wanaoenda kuswali, halishi chakula cha Bwana, elewa hilo.
anaetaka mahakama ya kadhi ahamie Saudia
msituzingue
aagh...
Majanga udini @work. Mbona yy presda alikuwa muslimu na kaimu wake akawa muslim kwa nn sasa haijawa hivyo kwa magufuli