Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Rais hana mamlaka ya kuvunja katiba ya nchi. Suala la mahakama ya kadhi kuwekewa msimamo na mku wa nchi ni ukiukwaji wa katiba. Endeleeni kuisubiri mahakama ya kadhi serikalini huenda itatokea siku atakuja rais kama JK aliyeiweka ahadi isiyotekelezeka kwenye ilani

Waislam wanataka mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi
 
Amekubali kutoa viza ili mkasikilizwe kesi zenu na Alsh-bab
 
Hapa, kwa huyu :welcome::welcome::welcome::welcome:

magufuli+picgha.jpg


Dr John Magufuli is the best
 
Tujadili mambo ya msingi jamani, ila tuwapuuze watu wanaotuwekea vibwagizo vya udini humu ndani.
 
Huyo mlinzi wa kiongozi aliekupa info hizi ni kilaza kweli,amekupa matango pori.Na kama uliamua kujifurahisha tu basi wewe ndiyo kilaza kweli
 
Nazidi kupata amani kuwa this is the government tunayoitaka ili kufikia kule tunakotaka kwenda. Serious ndugu zangu Samia Suluhu nae is a very strict woman yaani hapa inaonesha iyo serikali yake itakuwa serikali ya kazi na userious na haitakuwa na mchezo. Thank you again God. Hii ndo serikali tunayoitaka kwa kweli.
 
Kazi ya rais sio kujenga misikiti wala kutawaza wanaoenda kuswali, halishi chakula cha Bwana, elewa hilo.
 
Dr. Slaa kwa mabadiliko ya kweli, magufuli ni mwendelezo tu wa unyonyaji kwa mwavuli wa kijani
 
Habari wanaJamvi.


Najaribu kumfuatilia Jk hapa, anatumia muda mwingi sana kujihami anapomzungumzia Dr. Magufuli.

Jaribuni kumfuatilia.
 
kwenye national issues tunaangalia na kuzingatia credibility sio udini, hivyo uteuzi wa makamu ni sahihi kabisa
 
Majanga udini @work. Mbona yy presda alikuwa muslimu na kaimu wake akawa muslim kwa nn sasa haijawa hivyo kwa magufuli

Una akili mgando sana wewe. Huna mawazo mengine ndani ya kichwa chako.
 
Back
Top Bottom