Mr. Nice Guy
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 190
- 27
Rais hana mamlaka ya kuvunja katiba ya nchi. Suala la mahakama ya kadhi kuwekewa msimamo na mku wa nchi ni ukiukwaji wa katiba. Endeleeni kuisubiri mahakama ya kadhi serikalini huenda itatokea siku atakuja rais kama JK aliyeiweka ahadi isiyotekelezeka kwenye ilani
Waislam wanataka mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi