hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,544
Mgombea mteule wa urais kwa tiketi ya CCM amesema kuwa atalala mbele na wazembe serikalini ili kuleta maendeleo kwa wananchi kwani maendeleo hayana chama, swali je rushwa nayo maana ni kikwazo katika maendeleo zaidi ya uzembe ataiondoa? Tutafakari sana

Kinyonga hao pomoja na kutamka kuwa si kampeni mbona amedai achaguliwe yeye pamoja na wabunge na madiwani kwa mfano wa tochi ya betrii tatu lazima ipate betrii tatu ndipo imulikeHuyu ataiyumbisha nchi, maamuzi yake "kutimua timua" bila reasosing yataitesa nchi! By the way, amekwishaanza kampeni?
Mgombea mteule wa urais kwa tiketi ya CCM amesema kuwa atalala mbele na wazembe serikalini ili kuleta maendeleo kwa wananchi kwani maendeleo hayana chama, swali je rushwa nayo maana ni kikwazo katika maendeleo zaidi ya uzembe ataiondoa? Tutafakari sana
Mgombea mteule wa urais kwa tiketi ya CCM amesema kuwa atalala mbele na wazembe serikalini ili kuleta maendeleo kwa wananchi kwani maendeleo hayana chama, swali je rushwa nayo maana ni kikwazo katika maendeleo zaidi ya uzembe ataiondoa? Tutafakari sana
Mgombea mteule wa urais kwa tiketi ya CCM amesema kuwa atalala mbele na wazembe serikalini ili kuleta maendeleo kwa wananchi kwani maendeleo hayana chama, swali je rushwa nayo maana ni kikwazo katika maendeleo zaidi ya uzembe ataiondoa? Tutafakari sana
Mgombea mteule wa urais kwa tiketi ya CCM amesema kuwa atalala mbele na wazembe serikalini ili kuleta maendeleo kwa wananchi kwani maendeleo hayana chama, swali je rushwa nayo maana ni kikwazo katika maendeleo zaidi ya uzembe ataiondoa?
Tutafakari sana.
Hivi hatuna cha kuzungumzia kuhusu Magufuli zaidi za uuzwaji wa nyumba za Serikali!!!Yeye Uzembe alioufanya wa kuuza nyumba za serikali nani alimuonyesha?Ataenda kuwaonea sisimizi Tembo hatawagusa kamwe..........
Ushauri wa bure kabisa umempa je atauelewa hapo ndipo kuna kaziKama amesema hivyo, basi bado hajafahamu MAJUKUMU YA RAIS.
Mimi ningemuelewa kama angesema kwamba Mawaziri na Makatibu Wakuu wazembe kukiona. Maana hao ndiyo wasaidizi wake wa karibu lakini pia ndio hand picked wake.
Lakini kama atataka kumwajibisha messenger mzembe wa Sangamwalugeshi kwasababu ya uzembe hiyo itakuwa ni kupoteza time and space ya Rais.
Hivi hatuna cha kuzungumzia kuhusu Magufuli zaidi za uuzwaji wa nyumba za Serikali!!!
Mbona suala hili limekwisha fafanuliwa na Waziri mkuu mstaafu Mh.Sumaye kwamba uuzaji wa nyumba za Serikali ulifanywa na baraza la Mawaziri chini ya Rais, sasa kwa nini mnakazania kumkandia Mh.Magufuli as if ulikuwa ni uhamuzi wake binafsi!
Mnapenda sana kutoa an impression kwamba Mh.Magufuli ana act like unguiged missile!!!
Tunacho sahau ni kwamba yeye alikuwa ni mtekelezaji mahamuzi ya Serikali. Nyumba hizo ziliuziwa Watanzania wenzetu,kwani tatizo liko wapi, je mlitaka wauziwe wageni? Mh.Sumaye alisema kama Serikali ingeuza nyumba hizo kwenye open market basi wanunuzi wangekuwa Wazungu na Wahindi, je nyinyi mlitaka wauziwe wageni na si waswahili wenzenu au!!! Huu kama sio wivu ni nini?
Tafuteni hoja nyingine zenye mshiko,mkijitia kug'ang'ania hoja ya uuzwaji wa nyumbani za Serikali kama ndio hoja ya kumu corner Mh.Magufuli basi nasikitika kuwambieni hoja hiyo inekwisha tupwa kwenye trashcan.
Ushauri wa bure kabisa umempa je atauelewa hapo ndipo kuna kazi