Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Magufuli ni miongoni mwa viongoz wanaofanya kazi kwa ukabila na mtu hatari wakuunda sytem.embu waulizen wanaofanyanao kaz ndyo ujue magufuli ni mtu hatari nakuunda makundi
 

Nobody follows anyone in JF, this is not Twitter..in Twitter FYI there is 'following'

That's pure misconception..it must be someone else you are talking about..
 


Nakuunga mkono kwa asilimia zote! siamini kabisa kama Magufuli anaweza kubishia chochote toka kwa Kikwete hata baada ya kuwa Rais. Siamini kama anahuo ubavu.
 
hongera MAGUFULI
umeziilisha kuwa hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupingana na mungu ,mungu akisha panga nani wa kutengu?
yanajinesha namna ulivyopenya kwenye nyika yenye giza kubwa na kuibuka shujaa,
 
alipindisha Barabara kuu na kuipitisha Chato badala ya Biharamulo kinyume cha sheria
 
Magufuli asipoingiliwa katika utendaji na waliomtuma, basi tutashuhudia rais muwajibikaji katika historia ya Tanzania...
Ni wakati wa Tanzania mpya kuamka sasa na kusonga mbele kuyaelekea maendeleo...
Shime Watanzania
Hebu angalia hii picha vizuri alafu uone jinsi 'wapambe tata' walivyokwisha anza kumnyemelea.
Hivi si tulikubaliana sote hapa kuwa tatizo sio watu bali tatizo ni ccm, au tumesahau!?


 
Binafsi mchakato huu wa CCM umeonyesha chama hiki kina ukomavu mkubwa katika kukabili changamoto na especially tacts zilizotumika kuyapotezea makundi ya lowassa na membe coz makundi hayo mawili ndiyo ilikuwa kaburi la CCM

Hongera John Pombe Magufuli.
 
Nakuunga mkono kwa asilimia zote! siamini kabisa kama Magufuli anaweza kubishia chochote toka kwa Kikwete hata baada ya kuwa Rais. Siamini kama anahuo ubavu.

Hivi unamjua magufuli au ana misimamo yake.
 
Umesahau mara hii ile issue ya samaki, ambayo mwishowe serikali ilimriwa ilipe na kununua meli nyingine? Kuna mwananchi asiyejua hili!
 
Hongera na karibu sana mwalimu. Tunajua hautatupendelea walimu peke yake lakini 'jini likujualo halikuli likakwisha. Tunategemea sisi walimu, kuwa unapo pakuanzia kwa kuangalia nyayo za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jinsi alivyotujali walimu alivyoinua elimu, alivyoipa kipaumbele. Akasma, nanukuu: 'ukitaka kumsaidia masikini mpe elimu. Kufuatia utafiti wa Wizara ya elimu na ufundi inaonesha elimu imeanza kushuka tangu 2006 mpaka sasa inaendelea kushuka. Mwalimu unapaswa kuliona hilo kabla ya mengine yote. Mcheza kwao hutuzwa
Matokeo ya kura za wagombea kutokana na Mkutano Mkuu ni :

Mhe. John Magufulu 87%,

Balozi Amina Ali 10% na

Dk. Asha Migiro 3%




 
Ushindi wa magufuli unatufundisha nini sisi vijana ambao tunamaono ya kuwa viongozi wa badae

1,mimi binafsi kama muumini kweli ukimtengemea mungu ukawatumikia watu wake kwa umakini, ukatumia muda wako kufikilia juu ya umasikini wao mungu anakuinua,tunakutakia safari jema yenye uwepo wa mungu katika kulitumikia taifa,,
 
Mkuu,

JK kamuweka mtu wake, aliyemuongezea ulinzi na kumpa right hand man mwezi mzima. wagombea wote wa-5 wa CCM jana walikuwa watumwa JK hand picked.

Unadhani vile vikao vya CC vilivyokuwa vinafanyika Ikulu vilikuwa vinafanya kazi gani.

Mkuu Ritz unadhani hili la incumbents kuweka watu wao(Kama ulivyosema) ni healthy kwa demokrasia za nchi?
 
Last edited by a moderator:
Mimi hata asimame nani CCM kura yangu ni UKAWA tu kuanzia diwani,mbunge na rais. Siwezi kuchagua chama kilicholea wizi,umaskini,rushwa,ufisadi na mauaji(ya wakulima na wafugaji) kisa magufuli kashinda,sina muda huoo.
 
Nobody follows anyone in JF, this is not Twitter..in Twitter FYI there is 'following'

That's pure misconception..it must be someone else you are talking about..

Wewe kimeo soon utaanza kusema huko mtaani kwenu hakuna anayekufuata nyuma nyuma ukitembea inatokea Twitter tu.

Nyie watoto wa juzi tabu sana, kila kitu mnafikiri kinatokea sehmu moja tu. Niko huko twitter toka 2007, hivyo huna cha kunifundisha kuhusu kinachotokea Twitter.

Naandika JF sasa sio twitter, hivyo tusipangiane mukhtadha.

Narudia tena, Stop following me around..,
 

well said mkuu,hi nchi unaweza uka raani kuzaliwa mtanzania.
 
Magufuli ni mtiifu sana kwa JK.....hapo kashinda JK....tano bora yote ilikuwa yake......

Ni ukweli mtupu. Katika hili JK aliwazidi kete sana wapinzani wake. Tano bora yote ni watu wake (hata kama alikuwa na chaguo lake). Ni kama vile wasemavyo watu wa kusini (ukichimama nchale, ukichimama nchale). Ni mwanasiasa mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…