Yaani Da Amina kapata asilimia 10?
Sijui ni za Wazenji wenzake hizo au labda ni za Team Lowassa....
Team Lowasa wamempigia kula Ngosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Da Amina kapata asilimia 10?
Sijui ni za Wazenji wenzake hizo au labda ni za Team Lowassa....
Acheni ujinga. Akichaguliwa anakuwa amechaguliwa Rais wa nchi na silo Rais wa makundi Kama kundi la Wasafi au Akudo
magufuli ni mwepesi kuliko pamba !Umofia kwenu wana JF,
Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba ndogo. Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa nane (kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously kuanzia mwanzo mpaka mwisho?
Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa, hafai kuongoza nchi hii.
Kwisa habari yenu!!!JK chali.......
Anatupimia kwa kijiko? Ataumia!
Hureeeeeee TeamLowassa!

Flag bearer of Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania kuwania kiti cha uraisi tarehe 25 October 2015
Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Amezaliwa - 29 October 1959
Constituent: Chato
Current -Minister of Works
Kazi yake kubwa sasa ni kuwania kiti cha uraisi mwaka 2015
Mungu awe nae.
Karibuni kumfurahia, kumpa ushauri na mengineyo ili apae na kupaaView attachment 267559
Basi mama yaishe!Halafu nikishalala??