Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Vipi mbona nasikia Ni shein ndio mgombea mwenza kwani utaratibu uko vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndo ukweli.....Kamwe hawezi kua bora kwa kua zao la kiwanda chakavu,kinachoongoza kuzalisha bidhaaa feki kila wakati.Tutakua waajabu wateja kukiamini kiwanda hiki,kuwa sasa kinazalisha bidhaa bora.Ndio!!!!!! ni kiwanda kile kile miaka hamsini imepita,Kilipendwa hapo mwanzo kwa bidhaa zake.Wateja tulijitokeza kwa wingi hata kununua na kusikiliza matangazo ya bidhaa zake.Leo hii hatuendi mpaka kitoe magari yatubebe na hata chakula tuleee pia.....Ndo hicho hicho,bidhaa feki kila kukicha.MABEHEWA FEKI,BOAT YA BAGAMOYO FEKI,NDEGE YA RAISI FEKI,RADA YA JESHI FEKI ,BALA BALA FEKI,MAJENGO FEKI NA MIKATABA FEKI ni baadhi ya bidhaa zake.
Jina la kiwanda halikuwahi kubadilika,nembo yake na hata kanuni zake.Huwezi kua bora Dr kwa kuzalishwa na kiwanda chakavu.Fungeni mkikalabati kiwanda chenu na hata mkibadilishe jina na majengo.Itasaidia wateja kuziamini bidhaa zake tena.Huwezi kuwa bora kamwe,watu wanataka kiwanda kipya na bidhaa mpya.Wako tayari kutojari radha,upya utasaidia.
Hakika huwezi kuwa bora
Vipi mbona nasikia Ni shein ndio mgombea mwenza kwani utaratibu uko vipi?
Umofia kwenu wana JF,
Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba ndogo. Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa nane (kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously kuanzia mwanzo mpaka mwisho?
Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa, hafai kuongoza nchi hii.
Hivi hakuna mkutano mkuu au mkutano wowote ambao utarushwa live wa UKAWA ili tuone wanavyomchagua mgombea wao wa urais?
Hapana. JK ana uzoefu wa kuwatosa watu wanaojipendekeza.
Prove it.
nimecheka sana !Kazi kubwa ilikuwa ni kumkata Lowasa.haya mengine mnapotosha