Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Vipi mbona nasikia Ni shein ndio mgombea mwenza kwani utaratibu uko vipi?
 
Huo ndo ukweli.....Kamwe hawezi kua bora kwa kua zao la kiwanda chakavu,kinachoongoza kuzalisha bidhaaa feki kila wakati.Tutakua waajabu wateja kukiamini kiwanda hiki,kuwa sasa kinazalisha bidhaa bora.Ndio!!!!!! ni kiwanda kile kile miaka hamsini imepita,Kilipendwa hapo mwanzo kwa bidhaa zake.Wateja tulijitokeza kwa wingi hata kununua na kusikiliza matangazo ya bidhaa zake.Leo hii hatuendi mpaka kitoe magari yatubebe na hata chakula tuleee pia.....Ndo hicho hicho,bidhaa feki kila kukicha.MABEHEWA FEKI,BOAT YA BAGAMOYO FEKI,NDEGE YA RAISI FEKI,RADA YA JESHI FEKI ,BALA BALA FEKI,MAJENGO FEKI NA MIKATABA FEKI ni baadhi ya bidhaa zake.

Jina la kiwanda halikuwahi kubadilika,nembo yake na hata kanuni zake.Huwezi kua bora Dr kwa kuzalishwa na kiwanda chakavu.Fungeni mkikalabati kiwanda chenu na hata mkibadilishe jina na majengo.Itasaidia wateja kuziamini bidhaa zake tena.Huwezi kuwa bora kamwe,watu wanataka kiwanda kipya na bidhaa mpya.Wako tayari kutojari radha,upya utasaidia.


Hakika huwezi kuwa bora

" WAKO TAYARI KUTOJARI RADHA" Namtaka Magufuli jambo la kwanza alifanye atapokuwa rais ni kukata ndimi za wote wanaozungumza/andika lugha chafu namna hii, kama watoto wadogo. Afadhali warudishwe kuwa watoto wazungumze hivyo.... radha radha.
 
Umofia kwenu wana JF,

Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba ndogo. Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa nane (kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously kuanzia mwanzo mpaka mwisho?

Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa, hafai kuongoza nchi hii.

Huyo ndiye afadhali katika CCM!
 
Hivi hakuna mkutano mkuu au mkutano wowote ambao utarushwa live wa UKAWA ili tuone wanavyomchagua mgombea wao wa urais?
 
Magufuli ni mtu makini lkn amepenya kwa urahisi sababu ya vita kati ya Lowasa na Membe. Lowasa alipoenguliwa Membe akaweka mkakati wa kuwapoza wafuasi wa Lowasa kwa pesa. Kwa bahati mbaya pesa ikakamatwa na hivyo kushindwa kuwafikia walengwa, Membe akakomea kwenye tano bora sababu wafuasi wa Lowasa walipiga kura za hasira ili kumzuia Membe asiende mbali. Matokeo yake si siri tena. Ambaye hakutegemea wala kutwgemewa ndiye atakaye peperusha bendera ya CCM. Kazi kws ukawa!
 
ha ha ha,tafuta ile katuni ya juzi wakiwa wamekaa nje ya mlango wakingoja majibu.
angalia pozi lake utapata jibu
 
Asilimia zinazidi hizo..hesabu za wapi,halafu mnatuchanganya,mara yule amina kampita migiro mara ghafla migiro kampita amina..cooked data always zinaumbua.Kura zipigwe jana zihesabiwe leo!!!!
 
Hivi hakuna mkutano mkuu au mkutano wowote ambao utarushwa live wa UKAWA ili tuone wanavyomchagua mgombea wao wa urais?

Unakuja tena kwa Mbwembe mkuu tar.14.07.2015 mwenye kubishana na mimi aseme.
 
Hapana. JK ana uzoefu wa kuwatosa watu wanaojipendekeza.

Bwana Ngallu usichenge wala kudanganya watu, watanzania wa leo wana uelewa mpana sana wa mambo.Inasemekana J.K.,mkewe na hata mwanae walikuwa na mtu wao Bernard Membe na hawakuamini ile dafrau ilivyochezwa na kufanikiwa wakajikuta wanakosa wote.Inasemekana pia baada ya wajumbe wengi kwenye halimashauri kuu kutoliona jina la mpendwa wao Lowassa walichachamaa karibu kikao kivunjike na kikaahirishwa kwa muda. Inaaminika muda ule wa kuahirisha kikao ndio dafurao ilipangwa na baada ya tafakari kubwa Lowassa kaona kwa kuwa hapa haupo uwezekano wa kulirudisha tena jina lake na wameshakosa wote na pengine kwa unyenyekevu wa Magufuli na kujipendekeza kwake mnavyomwelewa inawezekana sana nae aliutumia muda huo huo kwenda kumpigia Lowassa magoti ili yeye na kambi yake wamuunge mkono. Kumbukumbu zangu hazinionyeshi hawa wawili kusemana vibaya wakati wowote na hivyo kina Nchimbi,Kibasa,Sofia Simba wakaambiwa wawaambie kambi yote na wajumbe wengi wa mkutano mkuu kujiunga kambi ya Magufuli. Nasema yawezekana hivyo ndivyo ilivyofanyika Magufuli aliekuwa hana jina kubwa kupata ushindi wa kishindo wa 87%. Nakubali kanda ya ziwa inaongoza kwa kuwa na wajumbe wengi mkutano mkuu lakini uelewe asilimia kubwa walikuwa kambi Lowassa damu na jina lake lingekuwepo hadi mwisho Magufuli asingepeta kabisa.
 
Prove it.

This is the 21 Century, everything is Naked. You can search the truth by yourself.

He was even taken out of the Ministry of Health immediately, coz Drs were not ready to be led by a Fake Dr.
 
Magufuli ni jembe sana ila anahitaji wasaidizi wazuri wenye international exposure either PM or VP.
 
Back
Top Bottom