Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Kura yangu ni kwa UKAWA kunazia diwani mpaka Rais. Gari bovu limeoza lote unabadilisha dereva tu alafu unategemea abiria wendawazimu na mazuzu washangilie kupata dereva mzuri wakati gari ndo bovu!!!
 
alifanya kazi muhimbili kama MD Muhimbili Hospital (1993-95) akahamia HKMU (1998-2000)

inamaana he was a fake Doctor miaka yote hii!

wacha chuki binafsi hizo........

Hapa Tz tatizo sio kufanya kazi au Cheti!! Tatizo ulikipateje?

Hata Gazeti pendwa la MwanaHali liliwahi kuripoti hii issue!

Refer: Kitabu cha Mafisadi wa Elimu Tz by Msema Kweli. Hakuna alie chukuliwa hatua. Licha ya kuwa ambia ambae amevunjiwa haki yake atinge mahakamani. Hamna hata mmoja alie tinga!!
 
Rais Jakaya Kikwete hakutegemea John p. Magufuli kufika 3 bora na anajilaumu kukubali kumwingiza 5 bora...Lowassa na kambi yake wakaamua kumwaga mboga...

Jana usiku nilimsikiliza wakati anaomba kura, jinsi alivyokuwa anaongea kwa kuchanganya changanya maneno inaonekana wazi kwamba hakujipanga kabisa.

My take, tuwe waangalifu.
 
Unajua ccm ni wajanja sana kumbukeni hata mwaka 2010 bungeni kulikuwa kuna makundi mawili 2 yakutaka uspika kati ya Sitta na Chenge kwa hiyo ccm waliona wakiacha wale waendelee au wamchague mmojawapo Kati ya Sitta na Chenge ccm waliamua kuwaacha wote wakamteua Makinda kuwa Spika kwa hiyo mimi niliona hilo linakuja kutokea kwa sababu kulikuwa na makundi kati ya Lowassa na Membe sasa basi kama kawaida yao wakaamua kuacha wale wenye makundi na kumpa Makufuri kumbukeni wote kuwa Makufuri hata katika kutafuta wafadhili alikuwa hana maneno mengi kwa hiyo ccm kumteua Makufuri wameamua kutosababisha kusambaratisha chama ccm ni wajanja sana pongezi kwa Makufuri
 
This is the 21 Century, everything is Naked. You can search the truth by yourself.

He was even taken out of the Ministry of Health immediately, coz Drs were not ready to be led by a Fake Dr.

We nae huna lolote ....kujitia ujuaji na kuthibitisha kauli yako umesindwa hebu pumzika kidogo maana una jazba..!
 
Hapa Tz tatizo sio kufanya kazi au Cheti!! Tatizo ulikipateje?

Hata Gazeti pendwa la MwanaHali liliwahi kuripoti hii issue!

Refer: Kitabu cha Mafisadi wa Elimu Tz by Msema Kweli. Hakuna alie chukuliwa hatua. Licha ya kuwa ambia ambae amevunjiwa haki yake atinge mahakamani. Hamna hata mmoja alie tinga!!

hilo gazeti muandishi ni mtu kama wewe anaweza akawa na kinyongo tu, je unajua Marmara University ipo wapi...?

Au umekariri MD lazima usome muhimbili....?
 
Back
Top Bottom