Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Ccm ni ukoo wa panya..mama mwzi baba mwzi na watoto wez,usitegemee jipya.
 
UKAWA KUCHEKA OCTOBA.

JAKAYA MRISHO KIKWETE azidi kuonesha dhahiri nguvu yake kimaamuzi ndani ya CCM haina Upinzani.

2005 Jakaya alipata kura nyingi kutoka kwa WANAWAKE.

Ndio sababu kubwa inayomfanya kuamini kuwa kupitia WANAWAKE na hii ndio sababu kubwa kuteuliwa SAMIA SULUHU HASSAN.

CCM ikiwa kwenye wakati mgumu wa kupoteza mvuto na kashfa kwa viongozi wake wa kiserikali, JAKAYA ANALAZIMIKA KUAMINI KUWA KUMTEUA MGOMBEA MWANAMKE itaisadia CCM kuvuna kura za wakina mama Nchini.

CCM wanasahau kuwa vituo vya kujiandikisha kupiga kura vilisheheni VIJANA kila kona tena wakiwa na ARI ya kutosha.

Hesabu za CCM zimekokotolewa vibaya kwa kusahau utaratibu wao wa MAKAMU KUTOKA ZANZIBAR.

Ni kweli SAMIA ni Mzanzibari, ila asili na historia ya Zanzibari haitoi nafasi ya Mwanamke kupata nafasi ya JUU ya kiutawala, kuna uwezekano Wazanzibari wakaona wamedharaulika ikiwa Lengo Kuu kwasasa ni KUPATA KIONGOZI ATAYEYEDAI ZANZIBARI YENYE MAMLAKA KAMILI.

Na hii ndio sababu Kuu ya ANGUKO LA GHALIB BILAL, Makamu wa Rais anayemaliza muda wake, Kwa kipindi fulani aliidai Zanzibari yenye MAMLAKA KAMILI.

Pigo la CCM ndani ya Visiwa vya Zanzibari sasa ni dhahiri.
Wazanzibari watapiga kura za HASIRA.

Inaonekana wazi mpango wa kumtosa LOWASSA uliandaliwa kwa USIRI MKUBWA na USTADI WA HALI YA JUU.

Lowassa asingekubali kujiweka REHANI kwa kumteua SAMIA SULUHU kuwa Makamu wake.

Mvuto wa SAMIA kwa wakina mama na Tanzania ni HAFIFU hii itapelekea kupungua sana kwa kura za CCM mwaka huu 2015.

Ujio wa Magufuli hauna tofauti sana na Bw. BENJAMIN MKAPA na Mwl.Nyerere aliona umuhimu wa kushawishi uteuzi DR. OMARY ALLY JUMA kuwa Makamu wa Rais ili kuvuna kura za Wazanzibari na kutengeneza safu imara.

CCM wanazidi kuifanya leo kuwa Moja ya siku iliyopoa kabisa, kona zote ndani ya miji mikubwa ni tulivu na minong'ono ni michache tofauti na miaka ya nyuma ambapo CCM ikiteua mgombea huwa ni shamrashamra na mazungumzo ya nguvu kona za miji mikubwa kama MWANZA, DAR-ES-SALAAM, ARUSHA na MBEYA.

Hapa Mwanza utulivu umetamalaki na wananchi hawaizungumzi CCM kama ilivyokuwa jana na juzi.
 
Wale missiontown anzeni kutafuta fursa mpya maana 'kupiga deal' kumefikia tamati. Watumishi wa umma badilikeni 'business as usual' ndio bye bye. Wafanyabiashara jiandaeni kulipakodi kwa mujibu wa sheria 'mambo ya hongo' kwishney. Na kwa wachapazi hii ni fursa ya kula 'matunda mema' ya jasho lao. Ahsante na j'pili njema!
Nataman uliyoongea yangetimia natamani tatizo watu wengine wanamapepo kichwani hawataelewa zaidi sana watabuni mbinu nyingine za kupiga peso
 
Wale missiontown anzeni kutafuta fursa mpya maana 'kupiga deal' kumefikia tamati. Watumishi wa umma badilikeni 'business as usual' ndio bye bye. Wafanyabiashara jiandaeni kulipakodi kwa mujibu wa sheria 'mambo ya hongo' kwishney. Na kwa wachapazi hii ni fursa ya kula 'matunda mema' ya jasho lao. Ahsante na j'pili njema!

Magufuli huyu huyu wa Samaki?
Magufuli huyu wa Kituo cha Mafuta?

wale wachonga diri ofisini pole sana hamna nafsi tena watabaki wenye nia ya kwenda kuwatumikia wananchi punba zitajichuja na mchele utabaki
 
Huyu mama mgombea mwenza wa magufuli alikuwa mstari wa mbele kutupulia mbali maoni ya wananchi alipokuwa makamu mwenyekiti kwenye bunge maalum la katiba
 
Huyu mama mgombea mwenza wa magufuli alikuwa mstari wa mbele kutupulia mbali maoni ya wananchi alipokuwa makamu mwenyekiti kwenye bunge maalum la katiba
hii inamkosesha haiba ya kuwa makamu wa rais
 
Back
Top Bottom