Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
Nina Imani na LOWASSA
Oyaah……oyaah ………oyaah
Nina imani na Mgufuli wapinzani wanatetemeka acha waisome namba, CCM mbele kwa mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina Imani na LOWASSA
Oyaah……oyaah ………oyaah
Endeleeni na Imani yenu kwa Lowassa ya kushindwa uchaguzi.Tunaimani na lowassa.
Swissme
Kwa maoni ya watu wengi kabla na hata baada ya NEC ya CCM, watanzania tulihitaji na tunamuhitaji zaidi rais kama Dr Magufuli. Hata wapinzani wote wanajua, mpaka sasa wameshagaragazwa chali ile mbaya.Kwa ufupi
"WATANZANIA TUNAMUHITAJI ZAIDI DR. MAGUFULI ZAIDI YA YEYE ANAVYOTUHITAJI"
- Ndiye amekuwa akikemea rushwa na ufisadi mpaka sasa
- Ndiye anayesema watu lazima wajitume ili kuleta maendeleo
Mungu akulinde na kukubariki Dr Magufuli!
Shetani ukawa ushindwe na kulegea!
Watu kama ninyi ndio wenye akili sio hawa vijana wa mihemko. Magufuli is the right choice at the right time. Kura zetu ni kwa Magufuli.Kwa maoni ya watu wengi kabla na hata baada ya NEC ya CCM, watanzania tulihitaji na tunamuhitaji zaidi rais kama Dr Magufuli. Hata wapinzani wote wanajua, mpaka sasa wameshagaragazwa chali ile mbaya.Kwa ufupi
"WATANZANIA TUNAMUHITAJI ZAIDI DR. MAGUFULI ZAIDI YA YEYE ANAVYOTUHITAJI"
- Ndiye amekuwa akikemea rushwa na ufisadi mpaka sasa
- Ndiye anayesema watu lazima wajitume ili kuleta maendeleo
Mungu akulinde na kukubariki Dr Magufuli!
Shetani ukawa ushindwe na kulegea!
Kweli uko juu Mkuu. Nimekukubali unatosha Magufuli Mpango mzima.[TABLE="width: 128"]
[TR]
[TD="width: 20, bgcolor: transparent"]M:[/TD]
[TD="width: 151, bgcolor: transparent"]Mungu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]A:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Ametuletea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]G:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Grudumu la maendeleo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]U:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Uongozi bora[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]F:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Falsafa yakinifu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]L:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Lulu kwa watanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]I:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Ikulu ni Yake[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mtanzania mpe kura yako
Mtalaaum Wa Kukalili Na Kuongopa, Utasikia Ziwa Tanganyika Lina Samaki Wenye Mimba Tilion Tisa Sabini Na Nne Elfu Mianane Sitini Na Mbili, Kanzania Inakondoo Milioni Kumi Na Saba Na Laki Mbili Mianne Sabini, Kuku, Mbuzi, Ng'ombe, Vipepeo. Watu Sisimizi, Watu Pwapwapwapwapwa,
Ili kuleta maendeleo na amani lazima kuwepo na umoja,na ili kuleta maendeleo lazma awepo mtu mchapakazi,mwadilifu na asiyekuwa mwoga.
ili kuleta umoja na amani lazma awepo mtu asiyefungamana na upande wowote,mtu asiyekuwa na makundi nyuma yake...
Mtu asiyekuwa na roho ya kulipiza visasi na kupendelea kikundi fulani cha watu..
Mtu asiye na element yeyote ya ukabila...
Dr.magufuli hana kundi lolote nyuma,hatumii fedha katka kusaka uongozi kama jinsi wafanyavyo wengne..
Hana uchu wa madaraka,Ana political torelance,
Dr. Magufuli katka kila wizara aliyoiongoza performance yake imekuwa kubwa maradufu..
Kama jinsi waswahili wanavyosema"kila anayetenda mema hulipwa kwa wema"Mungu ameona utendaji na roho ya kujitolea ya Magufuli dhidi ya taifa hili..
Ameona anafaa kabsa kuwaletea Watanzania maendeleo kupitia uchapakazi wake,Mungu ameamua kumlipa kwa wema Dr.magufuli amempa nafasi muhimu na ya kipekee kabsa ya wakuwaongoza watanzania,no one knew that magufuli will become.
The president..its GOD..LET US ALL STAND TOGETHER AND SUPPORT THIS GOOD WISH FROM OUR ALMIGHTY ALLAH..!!REGARDLESS OF OUR IDEOLOGIES & PARTIES..
DR. MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS.
[TABLE="width: 128"]
[TR]
[TD="width: 20, bgcolor: transparent"]M:[/TD]
[TD="width: 151, bgcolor: transparent"]Mungu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]A:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Ametuletea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]G:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Grudumu la maendeleo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]U:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Uongozi bora[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]F:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Falsafa yakinifu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]L:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Lulu kwa watanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]I:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Ikulu ni Yake
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mtanzania mpe kura yako