Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Kura Yako Na Mke Wangu Ni Kwa Edward Ngoyai Lowassa, Mbunge Na Diwani CUF /UKAWA!! Propaganda Tupa Kuleeeee!!!
 
Ni vizuri ashinde ili aje auze hata zile nyumba za walimu, taifa hili kila mmoja awe mpangaji
 
kwangu magufur nisawa na dhahabu ,na lowasa ni makapi ya mchanga mfano wa dhahabu.
 
Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, ndiye kiongozi pekee ambaye siku zote wakati wa kampeni zake anawasisistiza na kuwataka Watanzania kuwa makini kuchagua kiongozi muadilifu, akionya kuwa wasio waadilifu wasipewe mgaraka hayo zingatia jamaa aliyetimkia upande wa pili na kuwa msaka tonge. Je? Usaka tonge ni uadilifu?
 
Sifa zote za kuwa Rais anazo Dr. Magufuli. Hivyo kura yako mwananchi ni ya muhimu sana. Kiongozi ulivyosema ni sahihi kabisa.
 
Magufuli ni muadilifu, mchapakazi na mzalendo hizi ni sifa muhimu kwa kiongozi wa kuiongoza Tanzania ya leo. Achana na wapiga dili waliotufikisha pabaya na baadae kutoroka na kupokelewa na maadui zao. Ama kweli chui na mbuzi wanashirikiana.
 
Sifa zote za kuwa Rais anazo Dr. Magufuli. Hivyo kura yako mwananchi ni ya muhimu sana. Kiongozi ulivyosema ni sahihi kabisa.

Hongera sana na asante kiongozi SILISABANGOO kwa kulitambua hilo. Ni wakati sasa wa kuwaelimisha Watanzania wasidanyganywe na wachumia tumbo maana hao jamaa wa upande mwingine ni waharibifu wa lugha na kuwahadaa wananchi kwa maslahi yao. Jamani? mdomo mwingi, viroba kibao! Mgufuli ni jembe mwanangu, hima hima sote siku ya uchaguzi tumpe kura za ndiyo akatekeleze majukumu yake mapya ya urais.
 
Kiongozi anayetoa maamuzi kwa jazba hafai nafasi ya juu kama uraisi.anapendezea zaidi unaibu waziri.
 
Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, ndiye kiongozi pekee ambaye siku zote wakati wa kampeni zake anawasisistiza na kuwataka Watanzania kuwa makini kuchagua kiongozi muadilifu, akionya kuwa wasio waadilifu wasipewe mgaraka hayo zingatia jamaa aliyetimkia upande wa pili na kuwa msaka tonge. Je? Usaka tonge ni uadilifu?
Huyohuyo muadilifu aliikataa katiba ya wananchi yenye maadili; hiyo miujiza yake ya kuleta uadilifu ataitoa akilini mwake?
 
Vijana wa ccm bana mnashangaza sana. Magufuli muadilifu huo uadilifu kautoa wapi.?!
 
Tokea tupate uhuru tumekuwa na marais ambao ni wanataaluma waliosoma masomo ya sanaa,uenda ndio sababu ya utendaji nchini kwenye idara nyingi kuwa hafifu,kwa sababu watu waliosoma masomo ya sanaa wengi wao wana sifa ya kuwa na maneno matamu lakini utendaji mdogo.Safari hii tumebahatika kuwa na mgombea urais ambaye ni mwanasayansi Dr.Magufuli,ebu tusipoteze nafasi hii tukijua wazi karne hii ni ya sayansi na teknolojia
 
Kuweka kumbukumbu sawa mkuu! Hata sasa tuna Makamu wa Rais ambaye ni mwanasayansi tena Nguli PhD holder!
 
[h=3]
12122829_875113532565677_8541323381741115893_n.jpg
[/h]

Tunaimani na hali ya juu kwako....Magufuli kiongozi anayesikiliza watu.....Magufuli kiongozi mwenye maamuzi sahihi ya kuleta maendeleo...tarehe 25 is your day...tutakuchagua rasmi kua rais wa Taifa hili....nakupongeza Rais wetu mtarajiwa kwa kusema ukweli juu ya kuanzisha MAHAKAMA MAALUM YA MAFISADI NA KUTOA ELIMU BURE IKIWA NI PAMOJA NA KUJENGA VIWANDA NA KUFUFUA VISIVYOFANYA KAZI..PIA KUBORESHA HUDUMA ZA JAMII IKIWEMO HUDUMA ZA AFYA....MAGUFULI CHAGUO LA WENGI...TUNAIMANI NA WEWE..

#MIMI NITAMCHAGUA MWADILIFU

#CHAGUACCM

#HAPAKAZITU

Hiyo mahakama ya mafisadi wameshakubaliana na Mr Clean na Prof wa Kichina?
 
Back
Top Bottom